๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—”๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ต!!!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,359
Reaction score
2,787
1_20250620_003811_0000.png

Najua wengi wameshtuka na Hawajui kama Tanzania Tuna kiwanda cha kutengeneza Simu za kisasa Yani Smartphone!!!

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nchini Tanzania Jerry William silaa alifanikiwa kutembelea kiwanda cha kuzalisha simu janja (smartphone) , vishikwambi Pamoja na Laptop.

2_20250620_003811_0001.png
5_20250620_003811_0004.png

Kiwanda kinaitwa Raddy Electronics kilichopo mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga ndani ya eneo la kiwanda cha Raddy Fiber. Kiwanda icho ambacho kiko chini ya mwekezaji anaitwa Ramadhani Hassan Mlanzi ambaye anamiliki viwanda viwili kiwanda cha Raddy Fiber Manufacturing na Raddy Electronics.

4_20250620_003811_0003.png

8_20250620_003812_0007.png

Ni kiwanda ambacho kilizinduliwa mwaka 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia suluhu Hassan, kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha hadi kilomita 24,000 za nyaya za Optic fiber kikitarajia kutoa ajira zaidi ya watu 5000.

1003294584.jpg

1003294581.jpg

Pia Kiwanda hicho kitakua na uwezo wa kuzalisha simu 9,000 kwa siku sawa na simu 270,000 kwa mwezi.

3_20250620_003811_0002.png

Kwenye ziara hiyo waziri Silaa aliambatana na mkurugenzi mkuu wa kiwanda hicho Bw. Ramadhani mlanzi aliyevalia tai nyekundu pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Ab
dulla.
 
View attachment 3376501

Najua wengi wameshtuka na Hawajui kama Tanzania Tuna kiwanda cha kutengeneza Simu za kisasa Yani Smartphone!!!

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nchini Tanzania Jerry William silaa alifanikiwa kutembelea kiwanda cha kuzalisha simu janja (smartphone) , vishikwambi Pamoja na Laptop.

View attachment 3376502View attachment 3376503

Kiwanda kinaitwa Raddy Electronics kilichopo mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga ndani ya eneo la kiwanda cha Raddy Fiber. Kiwanda icho ambacho kiko chini ya mwekezaji anaitwa Ramadhani Hassan Mlanzi ambaye anamiliki viwanda viwili kiwanda cha Raddy Fiber Manufacturing na Raddy Electronics.

View attachment 3376504

View attachment 3376505

Ni kiwanda ambacho kilizinduliwa mwaka 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia suluhu Hassan, kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha hadi kilomita 24,000 za nyaya za Optic fiber kikitarajia kutoa ajira zaidi ya watu 5000.

View attachment 3376506

View attachment 3376507

Pia Kiwanda hicho kitakua na uwezo wa kuzalisha simu 9,000 kwa siku sawa na simu 270,000 kwa mwezi.

View attachment 3376508

Kwenye ziara hiyo waziri Silaa aliambatana na mkurugenzi mkuu wa kiwanda hicho Bw. Ramadhani mlanzi aliyevalia tai nyekundu pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Ab
dulla.
Bei za hizo simu ni kitonga?
 
Simu zake zinaitwaje?
Isije kuwa kiziwi 6series
 
Back
Top Bottom