Kumbe Tanzania hatuna B52?

B 52 ya nini ,cha muhimu ni wale makomando wavunji matofali kwa kichwa...
 
B_52 mbali sana, kibongo bongo hatuwez kuwa na hata Mini-gun(aka msumeno) bomba tano, ni hatari asee,....hata ivo vifaa vpo tunavyo basi tu:thumbup:
 
Tanzania if it was not due to corruption could have bought the best arsenal and build a small but strong effective state of the art defence force.

I believe that the TPDF lethality today is relatively far less than it was 30 years ago! No neighboring country had guts to start any friction against Tanzania at that time except the mad man Amin. However, today there are many small countries that don't fear Tanzania because we are not as lethal as we used to be; that is simply because of unprecedented levels of corruption even in national defense matters.
 
Burundi na Malawi pia walipata ujumbe
 
b52 ipo kenya. Uhuru alikuwa anatuangalia2.
 
katika ndege zote hatuna B52?

Ivi mabilioni yaliyopo Uswisi hayatoshi kununua B52?

EPA, RADA, Rindmond, Meremeta?????

Tanzania hatuwezi kuinunua hii ndege (Boeing B-52 Stratofortress) kwani bei yake ni kubwa mno, kila moja yauzwa US $ 54 millioni (Tshs Billioni 88), na inahitaji matunzo ya US $ 10,406 (Tshs 17 millioni) kwa kila saa ikiwa angani, licha ya kusema gharama za silaha itakayokuwa imebeba!! Kwa maneno mengine, bei ya ndege moja ni sawa na posho za kikao cha siku 460 kwa wabunge wote 640 wa bunge la katiba; na matunzo ya saa 12 angani ni sawa na posho za kikao cha siku moja kwa wabunge wote 640 wa bunge la katiba. Wewe nchi yako bado inarusha Mig 17 wakati kwa sasa ndege hizi zimefikia production series Mig 35 halafu waota kununua B 52!!

 
Burundi na Malawi pia walipata ujumbe

Ni kosa kulinganisha kitu kimoja na kitu kingine usichokijua. Hatuwezi kusema malawi walipata ujumbe wakati hatujui wamalawi wana vifaa gani vya kiulizi,,yawezekana wako vizuri kuliko sisi.
 
katika ndege zote hatuna B52?

Ivi mabilioni yaliyopo Uswisi hayatoshi kununua B52?

EPA, RADA, Rindmond, Meremeta?????

Hizo hatuziwezi mkuu,vifaa vya ulinzi vya kimagharibi ni ghali sana,acha tukomae na vifaa vya china. Wanunue b52 kupambana na unknown threat wakati known threat kama ukosefu wa vitanda,dawa huko hospitals,hakuna vitabu,vifaa vya maabara,barabara mbovu nk yametushinda!
 
Hakuna nchi yeyote ya jirani yetu ambayo hatuijui uwezo wake wa kijeshi mkuu. Kuna watu maalum wa kufuatilia mambo hayo.
Ni kosa kulinganisha kitu kimoja na kitu kingine usichokijua. Hatuwezi kusema malawi walipata ujumbe wakati hatujui wamalawi wana vifaa gani vya kiulizi,,yawezekana wako vizuri kuliko sisi.
 
Ipo c 54 unayo sema ilisha pitwa na wakati kijana pia izi unazijua ak 47, r.p.g, ..............nikitililika zaidi wataniita mie gaidi
 
Hakuna nchi yeyote ya jirani yetu ambayo hatuijui uwezo wake wa kijeshi mkuu. Kuna watu maalum wa kufuatilia mambo hayo.

Kwa hiyo wao ndio hawana watu maalum wa kutufuatilia mkuu! Pia military superiority hapa afrika mashariki hatuko namba moja mkuu.
 
kitu hiki kipo unafikiri utajua kil kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…