Ningeweka sema haijapitishwa na NBS sheria ya takwimu inakatazaSource ya takwimu zako?
Kizazi hiki mna shida sanaWanawake wanalalama vibamia
Wanaume wanadai wanawake wana makorongo no mnato
Tena si kidogo etiKizazi hiki mna shida sana
Hapa umejiangalia wewe, vipi watoto je hawana haki ya kuishi na baba na mama kama wewe ulivyolelewa(i guess) ?Mi naona bora watu wasioane. ... kila mtu aishi kwakwe na maisha yake ila mkipendana mnafika out mnapeana penzi basi. Mkitaka kuzaa mnaakubaliana kabisaa gharama za malezi kwa kuandikoshiana.
Naona ni ujinga kuvumiliana maana hata mie sitaki mtu anivumilie. Naona haina tija kugombana wakati mmechokana. .... Kila mtu akiwa na kwake basi hakuna kugombana ni kuwa kila mtu anaendelea na maisha yake. Maendeleo pia kila mtu afanye kivyake sema mnaweza kishauriana. Ukiona mtu anakulostisha unamwambia am sorry I think we should end this relationship.
Life is too short to hold on grieves....
Mtu asikudanganye dada, mi nimetoa moja juzijuzi tu, hivi hapa nasubiria cheti cha RITA nianze kutafuta mchumba mwingineSie wakristo talaka yako ni kaburi;
Talaka ipo sana huku kujitia hadi kifo ni sawa na kuruka sarakasi huku umevaa tauloMtu asikudanganye dada, mi nimetoa moja juzijuzi tu, hivi hapa nasubiria cheti cha RITA nianze kutafuta mchumba mwingine
Hakuna anayependa kuoa ila sasa linapokuja suala la genye, unajikuta unalazimika kuoa au kuolewa ili uwe na uhakika wa huduma jumuishi...Mi naona bora watu wasioane.