Kumbe Sumatra ni mbuzi wa kafara kisheria hawausiki na chombo chochote cha Serikali

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20180924-WA0039.jpg
 
Labda kuna namna wanahusika maana mambo ya sheria nayo yana technicalities zake kwenye kifungu hiki inasema hivi kingine vile usipokuwa mtaalamu basi inakuwa shida maana wanadai kuna general rule na exceptional sasa kwenye exceptional hapo unakuta Sumatra anahusika
 
hako kakipengele tu ndo umeona, leta vipengele vyote vilivyo kwenye hivyo vifungu tukunyambulie na uhusika wake.
 
Mkuu amenukuu kifungu km biblia, inabidi tuanzie na kifungu mama ili tuje kuendelea na kifungu cha nyongeza, ila km inavyooneshwa hapo, inaonekana sumatra haina jurisdiction na vyombo vya serikali, je kuna kifungu labda kinachoonesha uhusikaji wa sumatra kwa usafiri in general,
 
Hebu soma sambamba na kifungu (a) na vifungu vyake vidogo
Umenyofoa kifungu toshelezi kwako ili uweze kujifurahisha wewe na wenzako
Ameeleza vizuri Capt. Bendera kwenye video katika mjadala huu.
 
ni wote hao wanakariri vifungu pendwa ili kujifurahisha tu mioyo yao,ukitizama sheria nzima sumatra wanapaswa kuwajibika

Captain Ibrahim Bendera ameandika kitabu "Admiralty and Maritime Law in Tanzania." Kati ya Captain Bendera na wewe naamua kuyaamini ya Captain Bendera. Tuaminishe na hoja.
 
Back
Top Bottom