Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...

Pasco na Mohamed said wote ni wachochezi..wanatofautiana dini tu..mmoja mkristu mwingine muislam
Pasco huwezi kumfananisha na Mudi.Mudi ni hatari sana kwa ustawi wa nchi hii.
Hakika huyo mudi angekuwa mwandishi na mwenye kuendesha mihadhara ya maandiko yake basi tungeshampoteza ama nchi hii ingeshapotea
 
+plus Tanganyika haitegemewi kuungwa mkono na nchi yoyote katika vita vya serikali dhidi ya watu wake kama ikitokea Zanzibar ila wananchi wa Zanzibar chini ya Maalim wataungwa mkono na mataifa makubwa ambayo yameshaonyesha utayari. Na sidhani kama Ngosha atakomaa sana maana atarisk regime change Tanganyika. Anachokifanya Maalim ni kuifanya serikali na jeshi liingie kwenye mkakati wake halafu ngoma itwangwe.
Nani kakudanganya kuna taifa kubwa litakuwa pamoja na Seif au ni zile statement za usa and eu. Zile ni statement tu sio support au endorsement ya Seif. Msidanganyike hata kidogo hakuna kitu pale mtaishie segerea
 
Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...Mapinduzi Daima!. Muungano Milele. Pasco

Pamoja na facts zote hizi, wale machotara wa Pemba bado watabisha, hata ukimkumbussha umekuwa chotara sababu wale Waarabu waliotawala hapa, waliokuwa wanawauza kama kuku au mbuzi, waliwalawiti na kuwabaka mama na bibi zenu, ndio mkatokea, watabisha, ukiwakumbusha asili ya Pemba na Unguja, au binadamu wa kwanza walioshi huko visiwani ni WABARA wa pembezoni mwa Tanganyika(Tanga, Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Kilwa) bado watabisha, sasa sijuwi tuwasaidie kivipi?! Na ni kwanini kelele zote hizi zapigwa na machotara tu?!
 
Kwanza mleta habari ni lazima ujue kuwa Aman Abeid Karume siyo shujaa na wala hakushiriki mapinduzi ya Zenji, kumbuka wakati mapinduzi yakifanyika karume hakuwepo wakati ule yeye alikuja baada ya kazi kuisha. Shujaa na mwanampinduzi halisi ya Zamzibar ni field Marshal Okello raia na mwanajeshi kutoka Uganda, akina Karume kwakuona hivyo walimfanyia dhuluma ili eti asije akawa rais wa Zenji. Hii ndo kweli tupu ya historia ya mapinduzi ya Zenj.
 
Wanabodi,
Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!.

Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili kujua kujua yale yatakayokuja kutokea siku za usoni!.

Hivyo katika kuperusi baadhi ya video za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, nimekutana na video nyingi zenye urongo wa kupikwa kwa kuuchanganya na ukweli kidogo tuu ili ku make believe kuwa kila kitu ni kweli tupu!.

Lakini miongoni mwa video hizo za urongo, nimekutana video hii ambayo ni ya kweli,
inaonyesha mahojiano ya Sultani wa mwisho aliyepinduliwa Zanzibar katika yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya 1964, na kukimbilia uhamishoni!, huyu ni Sultan Jamshid!.

Baada ya mauaji ya Muasisi na Shujaa wa Mapinduzi yale Sheikh Abedi Amani Karume, mwaka 1972, BBC ilifanya mahojiano na Sultan huyu mkimbizi, jiji London. Sultan Jamshid alitamka wazi kufurahia mauaji yale na akawa anasubiria kwa matumaini kuitwa kurejea Zanzibar kuendelea kuwa Sultan!.

Jee hivi kweli kuna binadamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine?!. Mimi ni pro life, siungi mkono kifo cha aina nyingine yoyote zaidi ya kazi ya Mungu!, hata adhabu ya kifo, na sifurahii kifo chochote au kumwagika kwa damu yoyote kwa sababu yoyote ndio maana ni miongoni mwa tuliomlilia Osama, Saadam na Ghadafi!.
Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo
Adhabu ya Kifo: Jee kweli bado inahitajika? |
Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo
Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika ..
Karume Aliuwawa Na Utawala Dhalimu wa Sultan
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano .
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila .
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?
Wananchi wakitaka kujua nani alimuua nani?

Sasa jee wajua msingi wa furaha ya Sultan Jamshid kwa kifo cha Karume?!. Sikiliza kwa makini, ameeleza mwenyewe!.

Ila jee wajua baada ya kifo cha Karume, ni nini kilimkwamisha Sultan Jamshid asiitwe tena Zanzibar kuurejelea Usultani wake?!, ukikijua, naamini utajua kwa nini kuna mtu kila siku anashinda uchaguzi wa Zanzibar lakini hatangazwi!.

Sii wengi humu wanaojua kuwa miongoni mwa inteligensia kubwa zaidi duniani, ni intelijensia ya vinasaba!. Wanaintelijensia wamemaliza kazi yao zamani na kubaki kuangalia senema za siasa!.

Endeleeni kusubiria 2020 kujaribu tena, wenzenu wanaoijua historia hii na sababu zilizomo ndani ya mahojiano haya, wanawaangalia tuu jinsi watu wanavyoruhusiwa kujifurahisha kwa maigizo la uchaguzi hadi uchaguzi!.

Ukiujua ukweli utakuweka huru, ushauri wa bure, kwa 2020 badilisheni mgombea kuepuka visingizio vya taarifa za kinteligensia vya uhusiano wa vinasaba ya kuwa kumpa fulani ni kumrejelesha Sultan aliyepinduliwa kwa mlango wa nyuma!.

Pamoja na madhila yote ya Muungano yanayolalamikiwa na upande wa pili, ila kiukweli kuna maeneo fulani fulani, Muungano umesaidia!, maana just imagine, usingekuwepo Muungano huu adhimu, hali ingekuwaje?!.

Mapinduzi Daima!.
Muungano Milele.
Pasco

Pasco shikamoo kaka!
 
Pamoja na facts zote hizi, wale machotara wa Pemba bado watabisha, hata ukimkumbussha umekuwa chotara sababu wale Waarabu waliotawala hapa, waliokuwa wanawauza kama kuku au mbuzi, waliwalawiti na kuwabaka mama na bibi zenu, ndio mkatokea, watabisha, ukiwakumbusha asili ya Pemba na Unguja, au binadamu wa kwanza walioshi huko visiwani ni WABARA wa pembezoni mwa Tanganyika(Tanga, Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Kilwa) bado watabisha, sasa sijuwi tuwasaidie kivipi?! Na ni kwanini kelele zote hizi zapigwa na machotara tu?!
Mkuu Jebbs,damu ni nzito kuliko maji!!
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa!, walijiondokea wenyewe!, hakuna yoyote aliyekuwa akimtafuta sultani ni uoga tuu ndio ulimkimbiza

Kamwe Mapinduzi ya kuangamiza maisha ya watu hayawezi kuwa matukufu! Ni kweli si waarabu, hizbu wala ZPPP waliofukuzwa Zanziba,rlakini waliondoka kusalimisha/ kunusuru roho zao na mauaji ya kinyama yaliokithiri na kufurutu ada yaliyowalenga jamii hizo za kisiasa!

upload_2016-5-18_12-0-5.png

The bodies of Arabs,in a mass grave,killed in the post-revolution violence as photographed by the Africa Addio film crew

Hawakumtafuta Sultan Jamshid kwa vile sio kusudio ya Mapinduzi na pia sio kiongozi (executive) wa Zanzibar. Ndio hizi kasumba zinazosambazwa kuwa Jamshid anataka kurudi kuja kutawala ni siasa za maji taka za CCM tu! "Wanyime elimu ya dunia na kufikiri, waimarishe watoto wetu elimu tupate kuwatawala milile ( Usultani mambo leo)" Slogan hii ndio inayotekelezwa Zanzibar

Serikali Iliopinduliwa ni serikali halali ya Mzanzibari mweusi hayati Mohammed Samte, Waziri mkuu wa kwanza mzalendo. Saa kumi na mbili asubuhi tayari alikwishatiwa mbaroni na kuanza " kusulubiwa"

Mganda kutoka Wilaya ya Lango, jailbird and rapist, (self styled)Field Marshall John Okello, alitoa fatwa kwa Sultan Jamshid kupitia redio, Sauti ya Unguja." Nakutaka Jamshid uwaue (watu wa) familia yako na halafu ujiue wewe mwenyewe, vinginevyo kazi hiyo nitaifanya mweyewe"

PASCO tafadhali soma kipande hiki

John Okello
From Wikipedia, the free encyclopedia

The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found a revolutionary state on Zanzibar and Pemba. Okello also said that he received orders from God, when still in Uganda, by how he observed the position of stones in a stream. On the night before the revolution, Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins - COMMENTS RESERVED
 
Kuna watu wanakataa kumbukumbu hii...
Tarehe 9Dec1961 akiwa TANU Bw.Kingunge ngombale Mwiru alipandisha Mwenge wa Uhuru Mlima Kilimanjaro akiongozana na Wanajeshi wa KAR.
 
Wanabodi,
Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!.

Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili kujua kujua yale yatakayokuja kutokea siku za usoni!.

Hivyo katika kuperusi baadhi ya video za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, nimekutana na video nyingi zenye urongo wa kupikwa kwa kuuchanganya na ukweli kidogo tuu ili ku make believe kuwa kila kitu ni kweli tupu!.

Lakini miongoni mwa video hizo za urongo, nimekutana video hii ambayo ni ya kweli,
inaonyesha mahojiano ya Sultani wa mwisho aliyepinduliwa Zanzibar katika yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya 1964, na kukimbilia uhamishoni!, huyu ni Sultan Jamshid!.

Baada ya mauaji ya Muasisi na Shujaa wa Mapinduzi yale Sheikh Abedi Amani Karume, mwaka 1972, BBC ilifanya mahojiano na Sultan huyu mkimbizi, jiji London. Sultan Jamshid alitamka wazi kufurahia mauaji yale na akawa anasubiria kwa matumaini kuitwa kurejea Zanzibar kuendelea kuwa Sultan!.

Jee hivi kweli kuna binadamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine?!. Mimi ni pro life, siungi mkono kifo cha aina nyingine yoyote zaidi ya kazi ya Mungu!, hata adhabu ya kifo, na sifurahii kifo chochote au kumwagika kwa damu yoyote kwa sababu yoyote ndio maana ni miongoni mwa tuliomlilia Osama, Saadam na Ghadafi!.
Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo
Adhabu ya Kifo: Jee kweli bado inahitajika? |
Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo
Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika ..
Karume Aliuwawa Na Utawala Dhalimu wa Sultan
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano .
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila .
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?
Wananchi wakitaka kujua nani alimuua nani?

Sasa jee wajua msingi wa furaha ya Sultan Jamshid kwa kifo cha Karume?!. Sikiliza kwa makini, ameeleza mwenyewe!.

Ila jee wajua baada ya kifo cha Karume, ni nini kilimkwamisha Sultan Jamshid asiitwe tena Zanzibar kuurejelea Usultani wake?!, ukikijua, naamini utajua kwa nini kuna mtu kila siku anashinda uchaguzi wa Zanzibar lakini hatangazwi!.

Sii wengi humu wanaojua kuwa miongoni mwa inteligensia kubwa zaidi duniani, ni intelijensia ya vinasaba!. Wanaintelijensia wamemaliza kazi yao zamani na kubaki kuangalia senema za siasa!.

Endeleeni kusubiria 2020 kujaribu tena, wenzenu wanaoijua historia hii na sababu zilizomo ndani ya mahojiano haya, wanawaangalia tuu jinsi watu wanavyoruhusiwa kujifurahisha kwa maigizo la uchaguzi hadi uchaguzi!.

Ukiujua ukweli utakuweka huru, ushauri wa bure, kwa 2020 badilisheni mgombea kuepuka visingizio vya taarifa za kinteligensia vya uhusiano wa vinasaba ya kuwa kumpa fulani ni kumrejelesha Sultan aliyepinduliwa kwa mlango wa nyuma!.

Pamoja na madhila yote ya Muungano yanayolalamikiwa na upande wa pili, ila kiukweli kuna maeneo fulani fulani, Muungano umesaidia!, maana just imagine, usingekuwepo Muungano huu adhimu, hali ingekuwaje?!.

Mapinduzi Daima!.
Muungano Milele.
Pasco

Kwahiyo alipokuwa serikali ya CCM huyo maalim hamkujua ni mtoto wa sultan mpaka pale anapogombea urais kupitia CUF??? je mlipompa umakam wa Rais hamkujua ni mtoto wa sultan???

Pasco unashangaza sana
 
Umenisaidia kuiona hii clip lakini nataka kukupinga kuhusu kuamini kuwa Maalim Seif huwa anashinda na kunyimwa ushindi wake. Nachosema hii kauli haina ukweli. Maalim Seif hajawahi kushinda uchaguzi wowote tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze. Mwaka 1995 utata ulikuwa ni kwenye kokotoa matokeo kwani kura zilizoharibika hazikutumika katika kupata asilimia 52% za Salimin wala za Seif. Iwapo zingetumika uchaguzi ungerudiwa kwani katiba ilitaka mshindi ni aliyepata zaidi ya asilimia hamsini.
Baada ya kuuona huu usumbufu, katiba ya JMT na ya Zanzibar zilibadirishwa na kuruhusu ushindi kwa kuzidi kura. Pia kufungu cha kuruhusu jimbo kuwa wazi kwa siku 90 nacho kilibadirishwa na kufanya jimbo laweza kuwa wazi kwa miezi 25 au kadiri bunge litakavyoona inafaa.
Pia hapa umetumia neno kila siku anashinda lakini hatangazwi. Hapa naona naona umetia ufundi tu wa kucheza na maneno kwa kutia chumvi kidogo maana ingekuwa hivyo sasa hivi ningekuwa nasubiri kutangazwa matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana.
Tuthibitishe niliyosema kwa kwenda kudurusu vyanzo husika kama ZEC na nyingine nyingi ukweli utabainika kuwa Seif hajawahi kupata kura nyingi kuliko mgombea wa urais yeyote wa ccm Zanzibar.
Kumbe huna unalofahamu wwe

Hivi unajua majimbo mengi yenye uungwaji mkono wa maalim yaliunganishwa ila yale yenye ccm wengi hasa unguja yaligawanywa ili kuongeza Gap ya wawakilishi kati ya CCM na CUF???

Hivi umesahau mwaka 2000 mpaka mkafanya uchaguzi kwa mafungu na uhuni wote ule au unafkiri wote tulikuwa watoto enzi zile??

Wazee wenye heshima kma Ahmed Salim, Amani karume hawa wote kwa nyakati tofauti wamekiri maalim ameibiwa chaguzi zote ndio maana wakapendekeza iundwe SUK itakayomuingiza maalim serikalini sasa sijui tukuamini wewe au Amani karume???

Kingine kama maalim hajawahi kuibiwa mbona hamjakamata mzee Nassor Moyo ambaye alijiunga CCM ukiwa hata hujazaliwa na aliyehama CCM kwa kukiri maalim anaonewa na yeye alitumwa kwenda kumshawishi akubali matokeo alipoibiwa kura mwaka 2010?? Sasa kma hao wote wazee wazito wa CCM wanakiri wewe ni nani kukataa kuwa maalim hajawahi shindwa??

Liko wazi kabisa CCM imechokwa zanzibar sema mnatumia mabavu kubaki madarakani ila mkae mkijua mtavuna mnachopanda..... Sio leo wala kesho ila miaka mingi ijayo mtakuja kujutia haya mabavu yenu ya kuwagawa wazenji kwa misingi ya vyama na asili!!!

Anyway msalimie jecha
 
Pamoja na facts zote hizi, wale machotara wa Pemba bado watabisha, hata ukimkumbussha umekuwa chotara sababu wale Waarabu waliotawala hapa, waliokuwa wanawauza kama kuku au mbuzi, waliwalawiti na kuwabaka mama na bibi zenu, ndio mkatokea, watabisha, ukiwakumbusha asili ya Pemba na Unguja, au binadamu wa kwanza walioshi huko visiwani ni WABARA wa pembezoni mwa Tanganyika(Tanga, Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Kilwa) bado watabisha, sasa sijuwi tuwasaidie kivipi?! Na ni kwanini kelele zote hizi zapigwa na machotara tu?!
Shein katokea upande gani ???? Ni mpemba au muunguja??? Ukipata jibu niambie kwanni shein sio seif??
 
Pascali, kuhusu kufarahia mauaji ,je wajua 'wana mapinduzi daima' walifurahia mauaji ya watu wangapi baada ya mapinduzi?
 
Back
Top Bottom