Kumbe SHIRIKA LA POSTA linajiendesha kifaida??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe SHIRIKA LA POSTA linajiendesha kifaida???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Jul 5, 2011.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Baada ya kutumia Ma-box ya Kampuni/Familia/na c/o hatimaye nikajisogeza ambapo ni njia nipitiayo siku zote...Kijitonyama Postal Office nikiwa na vitu vyote muhimu ili kujiandikisha T.Bariiiidi mimi... bila woga wala nini wananiambia Mabox yoooote yamejaa...eti niende Ubungo Bus Stand hivi hawa nani kawalogaa???
   
Loading...