Kumbe Rick Ross...

Mweeee apo popa mabatini au pa nonde?
 
jibu kwa kikabila chako basi
watapatikana wa kukuungia behewa.

hata Billy Ocean ni mtz jina lake ni Bilali Husein kutoka Tanga majani mapana

na Alpha Blondy ni mtz pia jina lake ni Khalfani Mbonde kutoka kisarawe
 
Umeshajichanganya
leo mnyaki
juzi mngoni
kuna siku utajikuta umejibu kwenye kabila lako la kweli
ukiona mumeandamwa lol
umeona enh?kuna siku nakuwaga mjerumani siku nyingne mfaransa,mara mchaga mradi tu balaa!mwaya mi mngoni hizi lugha zingine hizi ni kujimix tu na marafiki ndo nazijulia humo humo !
 
Mkuu una japo KACHANZO KIDOGO ka taarifa yako? lakini kuna kaukweli ila mbona anataka kufanana na Mr SUGU?
 
hiyo alikuwa Nigeria,tena wananigeria wamekasirishwa na hatua yake kwenye video mpya kuweka video alizoshoot sehemu masikin na duni
 
Mkuu una japo KACHANZO KIDOGO ka taarifa yako? lakini kuna kaukweli ila mbona anataka kufanana na Mr SUGU?

Chanzo ni hawa ndugu zake sema si unaona wanongea kinyumbani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…