Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,022
- 2,276
Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana
inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe wake wawe uganda
Kuingia kwa hili jeshi sioni tena JWTZ wakaweza pambana na kuwatoa maana vifaa walivyoongia navyo ni mpaka kudongua ndege kama ukisoma ile report ya ndugu yetu kutoka uganda
sasa inaezekana vipi watu walikuwa wanakuja kusaidia maandamano wakaje na vifaa vya kudungua ndege?
tuna uhakika gani mpaka sasa wajaweka mabomu kwenye majengo muhimu kama tishio dhidi yetu tukitaka kupambana nao maana wamezunguka Dar hapo umeme umekiwa umezimwa na internet hakuna ina maana hakuna CCTV wala communication nyingine walizima mpaka simu za kawaida
ukishambua vizuri unaona kabisa tumeshaingizwa mjini, na taarifa ile inasema wamejenga kambi ya waya hapo kagera
wasichosema je wanakwenda kufukuza ndugu zetu kuondoka au wanawachukua kuwa waganda
Hii ni issue ile ile ambayo Watanzania tulimwaga damu kupambana na Iddi Amini leo tuna wageni wanaongoza nchi wametuuza
Ndio maana mimi binafsi kwa sasa ukiniuliza kuhusu huu Muungano nitasema hapana kila mtu aendelee na maisha yake bila Muungano na kila mtu arudi kwao
it is enough