Kumbe Rais Paul Kagame nae YANGA damu!

Obama yule muuza mitumba Karume au yule wa Yes We Can?
Hivi beki pascal ochieng aliyesajiliwa simba na i yupi?sio yule mzee aliyewahi kuichezea yanga wa mwaka 2000 mwanzoni?kama ndie hivi anaweza kuwa na jipya gani mtu aliyeichezea yanga karibu miaka kumi iliyopita?kama a usajili simba bora ikajiuzulu mapema kuepuka aibu kwa kushindwa kazi
 
:biggrin1: of coz mtu yeyote ambae anapenda sports na ni mtanganyika halisia atasupport YANGA
 
Baada ya kampeni zake kuvunja EAST AFRICA COMMUNITY kwa kutumia kichwa chake kibovu kushindwa ulitegemea nini mtu kama huyo atashabikia timu yenye akili Timamu kweli??? Lazima ashabikie timu yenye akili kama hizi:
 
Kweli .. list ya ''mashabiki makini'' ni ndefu. Manji (umakini ktk wizi & ufisadi), Kagame (umakini ktk ukandamizaji), JK (umakini ktk kuvumbua & kukwepa maamuzi magumu...) wote Y
Umakini wa Kagame tunauona pia DRC kwenye kupora rasilimali za watu na kujaribu kuvunja EAC bila mafanikio.
 
shauri zenu, chezeeni madikteta, mkifungwa wote anawa-assasinate.
 
Kweli .. list ya ''mashabiki makini'' ni ndefu. Manji (umakini ktk wizi & ufisadi), Kagame (umakini ktk ukandamizaji), JK (umakini ktk kuvumbua & kukwepa maamuzi magumu...) wote Y

Mbona umemsahau Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni naye ni Yanga DAMU
 
Kwa hiyo hata Jacob Zuma ni Yanga damu siyo? ndio maana inaitwa Yanga Africa..ni Club ya Africa..hata Raila anaifagilia sana.

Well said Mkuu, kwa historia tu, Young Africans ni Timu ya vijana wa ki-Afrika..so far ni timu ya Waafrika Wazalendo. Mi-Simba hiyo ni timu nya mi-Arabs. Wazalendo wachache walioko huko ni wanganga njaa na wengine hawajitambui kama tulishapata Uhuru. Rejea wimbo wa wanayanga wawapo uwanjani "....utumwa wa nhi Yerere ameukomeshaaaa!!!!!" Amuka You..:dance:!
 
Kwa Nimjuavyo H.E. Paul Kagame Hawezi Akawa Mshabiki wa Timu Mbovu Inayoshabikiwa na Wahafidhina na Watu Wenye Upeo Mdogo Sana wa Kufikiri na Hata Ziara Yenu Ya Kwenda Kigali MLIJIPENDEKEZA tu na Kwa Kuthibitisha tu hilo Angalia Body Language Ya Kagame akiwa na Wendawazimu Yanga na Msiojua Hata Hawakuingia Ikulu ndani bali Aliwapokea ktk Visitors Lounge Nje Ya Geti Kubwa La Kuingia Ikulu Yake. Waandishi Acheni Kudanganya Umma Kwani Siku Hizi na Ujio wa Teknolojia Kila Kitu Kipo Wazi na Tunawasiliana na Wadau Wetu mbalimbali. Jiandaeni Kupeleka tena Powder UTURUKI na Safari hii Mtakamatwa na Kunyongwa Kwani Wameshawashtukia!!!!!!
 
Hebu tuwekane sawa hivi hii timu inaitwa Young Africans Sports Club, Dar Young Africa Sports Club au Dar Young Africans Sports Club?
 
Well said Mkuu, kwa historia tu, Young Africans ni Timu ya vijana wa ki-Afrika..so far ni timu ya Waafrika Wazalendo. Mi-Simba hiyo ni timu nya mi-Arabs. Wazalendo wachache walioko huko ni wanganga njaa na wengine hawajitambui kama tulishapata Uhuru. Rejea wimbo wa wanayanga wawapo uwanjani "....utumwa wa nhi Yerere ameukomeshaaaa!!!!!" Amuka You..:dance:!
Wahamiaji haramu wamerudi tena, niliposikia kuwa asilimia kubwa ya wahamiaji haramu wakati wa operesheni kimbunga walikutwa na kadi za Yanga kwanza sikuamini lakini kwa mwenendo huu nimeamini..
 
Kwa Nimjuavyo H.E. Paul Kagame Hawezi Akawa Mshabiki wa Timu Mbovu Inayoshabikiwa na Wahafidhina na Watu Wenye Upeo Mdogo Sana wa Kufikiri na Hata Ziara Yenu Ya Kwenda Kigali MLIJIPENDEKEZA tu na Kwa Kuthibitisha tu hilo Angalia Body Language Ya Kagame akiwa na Wendawazimu Yanga na Msiojua Hata Hawakuingia Ikulu ndani bali Aliwapokea ktk Visitors Lounge Nje Ya Geti Kubwa La Kuingia Ikulu Yake. Waandishi Acheni Kudanganya Umma Kwani Siku Hizi na Ujio wa Teknolojia Kila Kitu Kipo Wazi na Tunawasiliana na Wadau Wetu mbalimbali. Jiandaeni Kupeleka tena Powder UTURUKI na Safari hii Mtakamatwa na Kunyongwa Kwani Wameshawashtukia!!!!!!
Mtumeee Mkuu umeuwaaaaa.
 
Back
Top Bottom