Kumbe Rais Paul Kagame nae YANGA damu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Rais Paul Kagame nae YANGA damu!

Discussion in 'Sports' started by KIM KARDASH, Aug 25, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  KAGAME ASHEREHEKEA TAJI NA YANGA ikulu ya Rwanda

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG]

  Rais Kagame akizungumza na Mwenyekiti wa Yanga, Manji


  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"]
  [​IMG]

  Rais Kagame akizungumza na Yanga

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG]

  Sief Ahmad Magari akimkabidhi jezi ya Yanga Rais Kagame mbele ya Mama Fatma Karume

  [​IMG]

  Mwenyekiti wa Yanga, Yussufr Manji akizungumza kitu mbele ya rais Kagame


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Rais Kagame akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Yanga, Mama Fatma Karume

  [​IMG]

  Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akiwa na kocha Saintfiet, wakimkabidhi Kombe Rais Kagame

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Rais Kagame shabiki wa Yanga kama alivyo kwa Arsenal...??Subirini muanze kufungwa:Atawapendekezea kocha afukuzwe kama alivopata pendekeza Wenger aondolewel!ha
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  ulikuwa haujui au?
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Siku zote team makini hushabikiwa na watu makini!!
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo wa kuipenda Yanga...JK na Kagame wanakuwa kundi moja ila si kwa utendaji wao maana Kagame hamkubali JK kabisa....anashangaa nchi yenye neema ya maziwa na asali anashinda ulaya kuomba omba...ana wish angekuwa yeye rais wa Tanzania atuonyeshe nini maana yake.......mialiko mingi ya kuja Tanzania anakuja Waziri Mkuu wake..yeye haji!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  hata Obama Yanga damu
   
 7. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo hata Jacob Zuma ni Yanga damu siyo? ndio maana inaitwa Yanga Africa..ni Club ya Africa..hata Raila anaifagilia sana.
   
 8. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rangi zake ni kijani na njano. sasa ulidhani atachagua timu za rangi gani??? Hata mkuu wa kaya na wateule wake wote ni rangi hiyo hiyo
   
 9. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kweli .. list ya ''mashabiki makini'' ni ndefu. Manji (umakini ktk wizi & ufisadi), Kagame (umakini ktk ukandamizaji), JK (umakini ktk kuvumbua & kukwepa maamuzi magumu...) wote Y
   
 10. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  rage , pinda na lowassa makini kwenye nini? Make hao ndo simba damu.
   
 11. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Swadakta!
   
 12. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  kama Ibrahim Akilimali?
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Hata Matola ni Yanga damu lakini inabidi ufanyike mchakato wa kubadili hii mirangi ya kijana na njano, najisia hata kutapika, sivai kabisa mimi jezi za Yanga.
   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lowassa sifahamu lakini PINDA ni Yanga wa kulia machozi..  [TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Acha kuchanganya kila kitu na siasa kijana
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Yanga ndio mpango mzima kama haujawa mwanachama usichelewe,jiunge sasa lakn tatizo zile rangi za Manjano ikibidi ufanyike mchakato wa kuziondoa
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa kikosi cha simba nilicho kiona jana, Yanga pigeni makelele lakini tukikutana mtajuata 1. Kaseja 2. Cholo 3 Amiri 4.Keitta 5. Pascol 6.Kazimoto 7. Ngassa 8. Haruna 9. Daniel Akuffo 10. Sunzu 11. Okwi...
   
 18. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha,kabla ya Kagame mlikuwa mkitupangia list hivyohivyo sijui 1.Kaseja 2. Kapombe 3. Maftah 4. Nyoso 5. Lino Mosombo 6. Salim Kinje 7. Kazimoto 8. Kanu Mbiyavanga 9. Sunzu 10. Boban sijui Danny Mrwanda 11. Kigi sijui Mussa Mudde.
  Matokeo yake baada ya mashindano kuisha hao waliokuwa bolded mkawatimua licha ya kuwa tayari mlikuwa mmeshatumia pesa nyingi sana kwao....Akuffo mbele ya Twite unategemea nini,huyo Sunzu wenu mimi natabiri mwisho wake kuichezea Simba umeshawadia,dirisha dogo kwaheri.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kama kawa...........
   
 20. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  Obama yule muuza mitumba Karume au yule wa Yes We Can?
   
Loading...