JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Nilishawahi sikia Waislam wakisema Biblia haina uasili kwa sababu imekuwa ikitafsiriwa matoleo tofauti katika lugha mbalimbali, jambo ambalo halipo katika Quran.
Katika pitapita yangu, nimeona matoleo mengi ya tasfiri ya Quran katika Kiingereza, lakini pia yapo yasiyopungua matatu katika kiswahili kama:
1. Tafsiri ya Kurani ya Kiarabu kwa lugha ya Kiswahili pamoja na Dibaji na maelezo Machache na Godfrey Dale, 1923
2. Kurani Tukufu na Mubarak Ahmad Ahmadi, 1953
3. Qur'ani Takatifu na Abdallah Saleh al-Farsy, 1969
Kulikoni Kuwasema Wakristo kuhusu tafsiri tofauti za Biblia?