Matokeo yake, form four failure ndiye rais wa nchi bwahahhahahaaa
Imagine kama unalinganisha akili ya samuya vs muhongo ni kama unalinganisha ml kilimanjaro na kichuguu!!.

HUYU MTU NAMUONA VERY POTENTIAL KWA MAMBO YA KISAYANSI NA KIUCHUMI
Natamani sana kumuona akiwa kama katibu mkuu wa wizara ya mambo hayo au pengine Waziri kamili