fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,223
- 1,267
Hii ni vita kama vita nyingine. Imegusa wengi akiwemo mleta bandiko. Hii pia inafanana na ile ya kutaja watu laivu laivu bila chenga iligusa wengi sana mpaka ikazalisha misamiati mipya kama Bashite =Zero. Sitashangaa kuona watu wakianza kuuliza vyeti vya Prof.Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...