Kumbe Pan African Energy wanatumia fedha ya Tanzania kuendesha mradi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Pan African Energy wanatumia fedha ya Tanzania kuendesha mradi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Nov 19, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Live toka bungeni Jan Makamba anatuabalisha,ela tulikopeshwa na world bank na wakatupa sharti la kutafuta kampuni binafsi.Ndo hawa pan africa.
  Unajua wanavyotuendesha nilidhani ela zao,yaani ela zetu alafu wanaleta za kuleta na kutuma mail za vitisho kwa wabunge kuhusu wizi wao.
  Yaani Tz tumelogwa au?
  Na bado wanaendelea kutuliza wameinject ela kwa mradi huo bila serikali kujua lengo ni kuraise share zao ili mradi ukibreakeven wao wapate gawio kubwa.
  Mbaya zaidi wameinject iyo ela bila kuwafahamisha Serikali uhuni huu
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Walipe hizo hela na kufukuzwa mara moja, tujenge bomba letu wenyewe, ndio maana walikuwa wanahaha kwenda bungeni na Ikulu kwa Vasco...
   
Loading...