Kumbe NO REFORM NO ELECTION ulikuwa ni mtego ?

Kumbe NO REFORM NO ELECTION ulikuwa ni mtego ?

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama policcm hawatashiriki kuwadhuru waandamanaji. Kuhusu jeshi la wananchi, hawa sina hofu naoa hata kidogo. Maana wengi wao wanajitambua. Ila siyo policcm.
Ni ngumu policcm kufanya hicho siku ya maandamano labda kwenye hizi siku kabla ya maandamano, kumvizia mtu mmoja mmoja na kuteka, ila kufanya ujinga huo siku ya maandamano ni ngumu maana inakuwa ni mob ya watu wengi, wengine wanaweza kuwa na silaha (marungu n.k) wakajikuta wanauwawa, yaani umevaa nguo za nyumban unambeba anayeandamana mbele ya kundi la watu na watu wanakuangalia, sidhani kama inawezekana.

Muda wao wa kufanya maovu ni huu wa sasa hadi 28 Oct, wakawabebe watu njian au majumban kwao basi, na wanajua hilo ndo maana wanatumia nguvu zote sasa kabla ya hyo 28 Oct, wakijua kama plan yao ikifeli sasa na maandamano yakitokea basi wamekwisha.
 
Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS

Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea.

Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha.

Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha wanafanya kuipush ila ni agenda ya Taifa.

Anasema hakuna Polisi,TISS au JWTZ atazuia maandamano kaenda mbali kanishangaza baada ya kusema hata Polisi wanajeshi na TISS wanaweza kuandamana siku hiyo wakiwa wamevaa kiraia.

Taifa linakombolewa amkeni msilale ndani amesisitiza mkishndwa itabidi wamnani anasisitiza.

Anasema hakuna Polisi,TISS au JWTZ atazuia maandamano kaenda mbali kanishangaza baada ya kusema hata Polisi wanajeshi na TISS wanaweza kuandamana siku hiyo wakiwa wamevaa kiraia.
 
Najiuliza Mombo ni team Samia..Aliemuekea Mombo sumu ni nani?Mana mombo ni kikwazo kkt hii nchi
 
Back
Top Bottom