Kumbe night dada poa

Kumbe night dada poa

madivi

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
14
Reaction score
6
Niaje bandugu, dunia imekwisha sasa kuna rafiki yangu amechanganyikiwa, baada ya kugundua mrembo wake night uenda kiwanja fulani hapa Dar es Salaam kuuza, mtoto mkali sana na anapiga kazi kampuni fulani ya simu, sasa najiuliza mtoto kama huyu ukimuona huwezi amin.

Wameishi wote miaka 2 katika mahusiano na jamaa huwa anapiga kavu, jamani kwa hali ilivyo sasa usije ukaopoa gumba kwa mtaa ukaenda peku wengi wao huwa watu wa viunzi night.

Kila mtoto wa kike hiyo ndio biashara anayoikimbilia why, jamaa kadata embu tusaidiane mawazo namna ya kumshauri na kumtoa stress, demu kakiri kaanza muda hii kazi but anadai anampenda mshikaji.
 
kipendacho roho hula nyama mbichi... apige chini kimeo...
 
niaje bandugu,dunia imekwisha sasa kunarafiki yangu amechanganyikiwa,baada ya kugundua mrembo wake night uenda kiwanja fulani hapa dsm kuuza k,mtoto mkali sana na anapiga kazi kampun fulan ya cm,sasa najiuliza mtoto km huyu ukimuona uwez amin,wana km miaka 2 ktk mahusiano na jamaa huwa anapiga kavu,jaman kwa hali ilivyo ss usije ukaopoa gumba kwa mtaa ukaenda peku wengi wao huwa watu wa viunz night,kila mtoto wa kike hyo ndio biashara anayoikimbilia why???,jamaa kadata embu tusaidiane mawazo namna ya kumshauri na kumtoa stress,dem kakiri kaanza mda hii kaz bt anadai anampenda mshikaji.
Hata kama asingekua huyo dada Changu amefanya makosa na kwenda peku,kwani hofu ni HIV peke yake? mimba nayo mashaka mengine? mpe pole mwambie aende akapime asiogope huenda akawa amepona ila asikimbie majibu.....
 
Kuna cha kujiuliza hapo? Mwambie mshkaji akimbie haraka la sivyo sasaivi ataanza kunywa ARV.

Mi sikufichi huyo jamaa akijifanya mbishi ukimwi hautomwacha,kwani huyo dada tabia yake haitobadilika kwani tabia ni kama ngozi ya mwili.

Mwenyezi Mungu amlinde na majanga
 
kupima ni TATIZO kwenye mazingira hayo.
 
niaje bandugu,dunia imekwisha sasa kunarafiki yangu amechanganyikiwa,baada ya kugundua mrembo wake night uenda kiwanja fulani hapa dsm kuuza k,mtoto mkali sana na anapiga kazi kampun fulan ya cm,sasa najiuliza mtoto km huyu ukimuona uwez amin,wana km miaka 2 ktk mahusiano na jamaa huwa anapiga kavu,jaman kwa hali ilivyo ss usije ukaopoa gumba kwa mtaa ukaenda peku wengi wao huwa watu wa viunz night,kila mtoto wa kike hyo ndio biashara anayoikimbilia why???,jamaa kadata embu tusaidiane mawazo namna ya kumshauri na kumtoa stress,dem kakiri kaanza mda hii kaz bt anadai anampenda mshikaji.

wadada wa makampuni ya simu huwa mnawaoneaga kweli,yaani kila mtu akileta thread hapa ya kuzinguliwa na demu utasikia anafanya kwenye kampuni flani hivi ya simu au bank flani hivi,hasa nmb.ok badada ba kampuni za simu acheni uzinguaji basi kama ni kweli
 
Kunguru hafugiki.

After all huyo mshkaji wako boya sana. Miaka miwili ndio anatambua hilo!!!!! Khaa!
 
Kila mtu ni mwizi wa mapenzi, kama kuna mtu anadhani kwa mpenzi wake yupo pekeyake, anajidanganya. Hata mimi ni mwizi wa mapenzi, na wewe mleta mada ni mwizi vile vile.
 
Wewe ni msemaji wa jamaa? Kama ndio tumia nafasi yako kumshauri ila kama siyo tuambie mambo ya chumbani kwa mwenzio yanakuhusu nini?
 
Parapanda italia....parapanda italiaaa parapanda....ooooohh..
Ndugu yetu amekwisha nyakuliwa....kweeenda kumlaki bwana yesu huko mbinguni....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
niaje bandugu,dunia imekwisha sasa kunarafiki yangu amechanganyikiwa,baada ya kugundua mrembo wake night uenda kiwanja fulani hapa dsm kuuza k,mtoto mkali sana na anapiga kazi kampun fulan ya cm,sasa najiuliza mtoto km huyu ukimuona uwez amin,wana km miaka 2 ktk mahusiano na jamaa huwa anapiga kavu,jaman kwa hali ilivyo ss usije ukaopoa gumba kwa mtaa ukaenda peku wengi wao huwa watu wa viunz night,kila mtoto wa kike hyo ndio biashara anayoikimbilia why???,jamaa kadata embu tusaidiane mawazo namna ya kumshauri na kumtoa stress,dem kakiri kaanza mda hii kaz bt anadai anampenda mshikaji.

Biashara inalipa kinona na hailipiwi kodi waache wafanye
 
Wewe ni msemaji wa jamaa? Kama ndio tumia nafasi yako kumshauri ila kama siyo tuambie mambo ya chumbani kwa mwenzio yanakuhusu nini?
nimetaka mawazo tu ya kumshauri na kumtia moyo mshikaj(ndug yangu) coz ni marafiki tangu nursery,km hunachakushaur piga kimya,usilete utan,mm pia naumia yaliyo mkuta ndug yang,so usilete taarabu zako kwenye issue za maana.
 
Sorry,umeolewa?
 
Mwambie aseme na Baba,hakika MUNGU hana upendeleo,cha kumwambia atajua pindi apigapo magoti kuomba rehema.
 
...asa ushauri gani hapo jamani,ushagundua huyo mwanamke ma..laya,kama wewe ni mstaarabu hujiulizi la kufanya. kama ndo zako lazima upate kigugumizi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom