Kumbe NIGERIA kama BONGO

Awa nao wana gesi na wese kama wana Lindi na Mtwara.ila ufisadi wa wanasaiasa unawafanya wanaijeria kuishi kwa dhiki kiasi kuwa inafikaga nchi kuishiwa mafuta japo wanachimba hayo mafuta.Wanasiasa wao wana magari mpaka ya dola milion moja.
 
Kwa uchafu na umaskini Nigeria ipo juu ya Bongo. Hawa jamaa na wale wa Kenya usipime. Hali ni mbaya kweli kweli huwezi kulinganisha na Bongo au India.
 
kuna watu huwa kila siku wanasema Naigeria ni bora kuliko Bongo na wengine wanadai Kenya ni bora kuliko Bongo, wanasahau kuwa nchi hizo pesa zimeshikwa na watu wachache tu kitu ambacho kinakuwa reflection linapokuja kwenye swala ya pato la taifa na pato la mwananchi mmoja mmoja.

umaskini wa mtanzania ni afadhali ya umaskini wa mwananchi wa hizi nchi.
 

Hakuna nafuu yoyote bongo. Angalia Manzese hiyo hapo chini
DAR YETUdaresalaamyetu.blogspot.com - 480 × 640 - More sizes
 
Awa nao wana gesi na wese kama wana Lindi na Mtwara.ila ufisadi wa wanasaiasa unawafanya wanaijeria kuishi kwa dhiki kiasi kuwa inafikaga nchi kuishiwa mafuta japo wanachimba hayo mafuta.Wanasiasa wao wana magari mpaka ya dola milion moja.
Ndio hapo wakati mwingine nafikiria mara mbilimbili ile dhana ya kuwamba weusi tumelaaniwa inanitia mashaka...may be ni kweli. Africa yote imejaliwa kila aina ya utajiri lakini ni umaskini, rushwa, vurugu na balaa tupu. Ee Mola tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…