nina nchi sita
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 269
- 146
- Thread starter
- #21
Tatizo liko hapo mzazi wenye wake wakifumania akili yao ya kwanza ni kulaza lindaAnaogopa asije akaundiwa tume atatuliwe marinda....
Tatizo liko hapo mzazi wenye wake wakifumania akili yao ya kwanza ni kulaza lindaAnaogopa asije akaundiwa tume atatuliwe marinda....
Thanx wazo lishaingia mzigoni jombaaHebu declare interest yako kwanza, unachohitaji ni nini haswa? Hiyo mimba? Unnahitaji isijulikane au, yaani ni nini hasa wewe unachohitaji.
Kwa jicho langu nimeona kuwa hiyo mimba unaihitaji na unahitaji kuzaa na huyo dada, sasa wewe cha kufanya kama ulikuwa kimya endelea kuwa kimya
Picha linaanziaga hapamambo ya akina Muna, Peter na Casto
Sijaja kunogesha story hapa nimekuja kutanua fikra zangu kwenye msala wanguNenda ukachizike nae, story yako haijanoga
Kufumua ukiwa la tano sifa sio? Kweli sio age yanguMi sio age yako jomba enzi yetu la tano MTU unafumua watu tayari. Afu andika vizuri ueleweke
Ndio maana likafeli wenzake wakaendeleaKufumua ukiwa la tano sifa sio? Kweli sio age yangu
Mjomba haya mambo kama huyajui kaa pembeni wanishauri wanaume wenzanguNdio maana likafeli wenzake wakaendelea
Hapa haijulikani linataka nini kushauriwa
Ukilichunguza sana hili lijitu linavyojibu huko juu utaelewa kama sio shoga ni lijitu la ajabu ajabu limekuja kuchafua wanaume
Unaniuliza Mimi aumtu mwenye mimba anaongeaje ?
Ndio ule msemo wa nyani haoni takole unapo Fanya kaziChizi hashauliwi wewe ni kamata mirembe