Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Sote tunashuhudia jinsi makamanda wa jeshi la Polisi mikoani wanavyokamata kete za madawa ya kulevya ikiwemo bangi, hii itaokoa nguvu kazi kubwa ya Taifa ambayo ingepotea, the initiator and the hero behind ni Mh Makonda, yeye ndo amekuwa na uthubutu wa kumfunga paka kengere, yeye ndo amesababisha hata ukamteua kamishina wa kupambana na dawa za kulevya ambaye tuna imani nae na ataendeleza vita hii Nchi nzima,hivyo kutokana na uzalendo huu Mh Rais endelea kumwamini Mh Makonda ikibidi umpandishe cheo bila kujali kelele za wakereketwa wa vyeti feki ambapo kimsingi drug lords ndo wameinjia yote hayo, hata kama ni kweli kwamba Mh makonda ana vyeti feki basi kwa kuendelea kumwamini ni zawadi tosha kwake na hii itakuwa umejitengenezea legacy na historia itakukumbuka, at least for the sake of our youth,( All animals are equal but other are more important than others-Animal Farm).Ukimtumbua Mh makonda utakuwa umewapa ushindi Drug lords wasio na huruma kwa vijana wetu juu ya madhara ya madawa ya kulevya, ,hawa drug lords wasikufundishe nini cha kufanya, uko hapo kutokana na matakwa ya Katiba, urais wako hauna ubia na mtu.
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Naona unamtetea homeboy!
 
Wenye vyeti na wasio na vyeti maamuzi yao yapo sawa tuu kama mama Salma amerudi Bungeni huyo RC asitumbuliwe yupo vizuri tuu.
 
1488401064435.jpg
hata mi naona ni uongo
 
Anayejiamini kweli kwamba makonda ameforge vyeti kwa nini asijitokeze wazi wazi kuhoji hilo. Wengi mbona tumejificha kwenye id hizi zinazotuficha. Gwajima mwenyewe anamzungumzia kwa kufumba eti bwana yile. Secretariate ya maadili ya viongozi inewataka watu wapeleke malalamiko ili yashughulikiwe lakini hawaendi
 
naona kubebana hakuna sasa mnamua kujipendekeza sasa mwandishi unatafuta kiki tu akuna jipya mlishatuaminisha kwa maneno yenu yakibabe akuna utamu wowote wafanye kweli swala watalichukulia wepesi ila ni zito sema uongozi kipaji sana .
"eti diploma sikuhiz wanavaa majooh " hapo ndo utajua elimu si siasa ila siasa ni elimu .
 
Anayejiamini kweli kwamba makonda ameforge vyeti kwa nini asijitokeze wazi wazi kuhoji hilo. Wengi mbona tumejificha kwenye id hizi zinazotuficha. Gwajima mwenyewe anamzungumzia kwa kufumba eti bwana yile. Secretariate ya maadili ya viongozi inewataka watu wapeleke malalamiko ili yashughulikiwe lakini hawaendi
ila kikubwa si vyeti mbona me ninavyo mpaka vya ubatizo ndugu kabla awajitokeza kupigana na kuprove kauli zao kwann asifanye hvyo wewe kutuaminisha ukimya una maana sana ila majibu yanakuwa kichwani mwa mtu mwenye anachokifikilia nini utakacho zungumzia tunatamani kujua ukweli wewe ila inafika muda na amini nilichosikia tu .
 
Katika porojo zake ndeeefu,kuna sehemu amesema "huenda haya yanayozungumzwa ni uzushi.Kumbe hata wewe mwenyewe "mwandishi mchunguzi"huna uhakika na utetezi wako kwa Daudi Bashite wako?Aina hii ya waandishi wa habari ya aina yako inatutia shaka kuwa huwa mnanunuliwa.
 
Hahahaaa, embu mwambie akaripoti wito kule mahakamani kwanza msituletee michosho yenu hapa tumeshawachoka.
 
Anayejiamini kweli kwamba makonda ameforge vyeti kwa nini asijitokeze wazi wazi kuhoji hilo. Wengi mbona tumejificha kwenye id hizi zinazotuficha. Gwajima mwenyewe anamzungumzia kwa kufumba eti bwana yile. Secretariate ya maadili ya viongozi inewataka watu wapeleke malalamiko ili yashughulikiwe lakini hawaendi
Usituchoshe, mfate mange insta
 
Back
Top Bottom