Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
well saidNdio matatizo ya kukopi na kukumbatia tamaduni za watu, hatujui na wala hatuhoji maana na faida...!
Fuatilia Mavazi ya Madiwani na Meya, hapa pia wanafuata taratibu za Mkoloni kama kwamba sisi hatuna Mila na Desturi zetu...!
Ni aibu kubwa..
Huwa wanachekesha sana na magauni hayo [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndio matatizo ya kukopi na kukumbatia tamaduni za watu, hatujui na wala hatuhoji maana na faida...!
Fuatilia Mavazi ya Madiwani na Meya, hapa pia wanafuata taratibu za Mkoloni kama kwamba sisi hatuna Mila na Desturi zetu...!
Ni aibu kubwa..
Na hayo Mavazi ndio huwapumbaza na kujiona/kujifanya Miungu watu, ndio maana Mukulu amewatolea uvivu safari hii kwa kuwaambia, Diwani atakae tegemea ufisi yake kama chanzo cha kumuendeshea Maisha yake, atasubiri sana...!Huwa wanachekesha sana na magauni hayo [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ni bora/vyema basi wavae Mawigi Original (halisi kutoka China) kuliko kuweka hizo KATANI kichwani...!Kwa Tamaduni za kiafrika inajulikana wanaotoa hukumu na ushauri wa busara ni Wazee wenye umri mkubwa na mvi.
Ndio maana nao wanavaa mawigi meupe kama mvi ili kujenga imani kwa anaehukumiwa.