Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

Nchimbi hayupo dubai.kama ni picha soma quality ya picha ilivyotumika.

Kuna mambo mengine hata ukichunguza CCTV za hapo uwanja wa ndege ila basi wengine tubaki kimya.Ila bwana max na wewe wanataka kuua familia yako hawa UVCCM
1793039097891.jpg
 
Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!

Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?

Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ?

Ndo Maana either nitatumia English au codes


Britanicca
Wewe ni mtume wa allah, pokea zawadi yako sasa hivi.
1793036957117.jpeg
 
MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI

Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO

Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA

Mwili wa jana umevaa suti ya leo.

LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA

Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI

Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA


Britanicca
BISHUBA BYONKA..Hamna wa kukuamini hapa,uzuri unapokanyaga nasi tupo pale pale.Watch out
 
Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!

Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?

Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock

Ndo Maana either nitatumia English au codes


Britanicca
Kwa maandishi haya watu wameshakutambua kitambo.

I mean wewe ni bado sana kwenye haya mambo na sasa umeropoka siri yako wewe mwenyewe.

All in all ninakuelewa unajaribu kufanya nini.

NI VIZURI SANA MKUU.TUPO PAMOJA.
 
Ntawaumbua sana na mtasubiri sana

Kesho naweka ushahidi wa Makonda Mchengerwa na FA na Msigwa kule pesa za kujenga viwanja kwa ajili ya Afcon !

Mbw* ninyi msinichokoze! Nina uwezo wa kutoa Thread Moja hadi Samia akajiuzuru endeleeni
Hebu tafuna "buni" zako kwa upole kwanza kabla haujakaa ule mkao wenu kama mnakuna nazi mbugie ebitoke!
 
Back
Top Bottom