Kumbe ndio mpango wenu jusa na maalim seif

Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan
Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA
na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika
kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za
kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu
alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya
karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia
Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza
ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa
msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha
(kifedha na ushauri) mchakato mzima wa
kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na
kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea
kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo
wa Arabuni. Hiyo ni Summary ya kitu kizima
ambacho kipo hapa na na documents za kutosha
na akaunti za benki zinazoingizia pesa kwenye
benki moja ya nchi jirani kutokea kwa sultan....

MFALME POPE NA KANISA LAKE YEYE HAYUPO CHINI YA MPANGO WA CCM WA SERIKALI MBILI KUELEKEA MOJA ??

Last edited by a moderator:
Kama kweli itakua vizur sana kwani tanganyika inai'gan'gania znz ya nini????kwani kama wazanzibar twataka utawala wa kiislam nyie chepi chawauma????wananchi wataka afya njema,elim bora,miundo mbinu imara na maisha bora kwa ujumla wake sasa kama Muungano hauna faida wala manufaa yo moja kwa moja kwa wananchi wanini sie???????
 
Interehamwe wameshikwa pabaya mwaka huu! Sultani hewa huyo aje Zenji karne hii ya 21? baba nenda ktk bunge lenu la ki Interehamwe halafu urudi tena na karata nyingine hii haina mashiko!

Mkuu kumekuwa na attempt nyingi za Sultani kurudi huko nyuma bila mafanikio yoyote! Kuna wakati Sultani Jamshid aliulizwa kuwa alipokeaje mauaji ya Karume alijibu kuwa alifurahia sana kifo hicho kwa kuwa utawala wa "kidikteta" ulishaondoka. Alipoulizwa kuwa sasa ni wakati wako wa kurudi Zanzibar alijibu kuwa si yeye bali "watu wake" (eg UAMSHO, UKAWA, etc) wakimhitaji, alisema kuwa "I will certainly go!"
 
Kama kweli itakua vizur sana kwani tanganyika inai'gan'gania znz ya nini????kwani kama wazanzibar twataka utawala wa kiislam nyie chepi chawauma????wananchi wataka afya njema,elim bora,miundo mbinu imara na maisha bora kwa ujumla wake sasa kama Muungano hauna faida wala manufaa yo moja kwa moja kwa wananchi wanini sie???????

Si kweli kuwa Wazanzibari wanang'ang'aniwa bali wote tunang'ang'aniana, ndio maana tuko pamoja kwa miaka 50!
 
kweli niliiona hiyi interview alitamka hvyo anayebisha aingie you tube.
 
NAKWABIA TENA
mkuu lete chanzo halisi cha habari hii
 
Mara Zanzibar wanataka kuwa nchi ya kiislama, mara serikali 3 ni gharama, mara jeshi litachukuwa nchi, na sasa ni sultan anataka kurudi! You people need to make your mind up. Na office ya Waziri mkuu walipopendekeza serikali 3 walikuwa wanataka nani aje, malkia?
 
nchi imewashinda kutawala mnataka kuitia vita APARTHEID REGIME
CHAMA CHA MASONIC (CCM)
CHAMA CHA MAFISADI
WASAKATONGE
CHUKUA CHAKO MAPEMA
wanapalilia ubaguzi (upemba,unguja,uislamu,ukiristo,weuzi,weupe.warabu,wafrica ndio hoja za ccm kupinga serekali 3)INTARAHAMWE ndio waloleta habari hii
 
Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan
Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA
na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika
kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za
kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu
alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya
karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia
Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza
ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa
msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha
(kifedha na ushauri) mchakato mzima wa
kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na
kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea
kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo
wa Arabuni. Hiyo ni Summary ya kitu kizima
ambacho kipo hapa na na documents za kutosha
na akaunti za benki zinazoingizia pesa kwenye
benki moja ya nchi jirani kutokea kwa sultan....

Ovyooooooo ------- mkubwa
 
Ukatoriki ulikuwa against - Marxism na Uislam, wakati Nyerere alikuwa Marxist na Mkatoliki, na waliokuwa wazee wa dsm (muslims - majority) walimpa Nyerere utawala, Azimo la Arusha - kutaifisha njia kuu za uchumu - maana huwezi kumtawala Muislam akiwa na mali, je hizo benki na shule zote zilikuwa za waislam? yutube ya ajabu na ya uongo kabisa na inajichanganya yenyewe
MFALME POPE NA KANISA LAKE YEYE HAYUPO CHINI YA MPANGO WA CCM WA SERIKALI MBILI KUELEKEA MOJA ??

Last edited by a moderator:
Unafikiri mtoto wa Mfalme wa Omani na JK mtoto wa mchoma mkaa wa Msoga nani ataitawala vizuri Zanzibar.

Wenyewe waznz wamekubali wewe inakuwashia nini?
 
Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan
Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA
na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika
kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za
kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu
alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya
karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia
Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza
ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa
msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha
(kifedha na ushauri) mchakato mzima wa
kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na
kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea
kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo
wa Arabuni. Hiyo ni Summary ya kitu kizima
ambacho kipo hapa na na documents za kutosha
na akaunti za benki zinazoingizia pesa kwenye
benki moja ya nchi jirani kutokea kwa sultan....

wewe kaka fitna na propaganda kama hizo wenzio wameshazitumia zamani sana lakini hazikufanya kazi,hazikuweza kusimamisha dhoruba ya watanzania husan wazanzibar kuomba haki zao......

Watanzania wasasa wameamka kiakili hawataki kuburuzwa,dunia imekuwa ndogo kila kitu kiko wazi...kuweni wakweli mtafanikiwa, uongo haufanyi tena kazi,tizameni mlivojichanganya kweye hati za mungano..
 
Propaganda hizi za kijinga katika wakati huu zimepitwa na wakati. Tafuteni mbinu nyengine hii ndio ile ile ya "ilipata madaraka CUF watarudisha waarabu". Angalia isije ikawageukia kama ilivyowageukia slogan ya "CUF ni chama cha waislamu" matokeo yake ikawa waislamu wengi kujiunga nacho.
 
kisha hawa mods kwann hawashuhulikii mijitu mijinga kama hii? wanalipotezea heshima yake jukwaa.
 
Back
Top Bottom