Kama wewe ulivyofukuzwa umods?
ndio mkuu alitimuliwa juzi juzimkuu hivi jamaa si mods tena eeh, mkataba uliisha au hakuwa material?
Hakuna anae pelekeshwa Lissu na wote walio nyuma yake tunadai Tanganyika yetu,hizo habari za Zanzibar ni za kwao ambapo ukiangalia ni haki yao kudai nchi yao yenye mamalaka kamili pasipo kushurutishwa na mtu yoyotyeAkina Lissu wanapelekeshwa, watajishtukia wako shimoni!
Kaka hayo maneno ya kejeli na kashfa sio mazuri.Hakuna hata mznz aliwayi kutoa hoja moja mbili tatu. Mimi naamini hatuwezi kutengana kwasababu ya chama maana undugu wetu ni mkubwa. Huu ubaguzi mnaochochea hta baada ya muungano kufa. Wazanz watakuja kuwa watymwa kwenye nchi yao tena. Historia hujirudia. Ni vyema tu strengthen pale penye hitilafu laknj sio kujitenga.Interehamwe wameshikwa pabaya mwaka huu! Sultani hewa huyo aje Zenji karne hii ya 21? baba nenda ktk bunge lenu la ki Interehamwe halafu urudi tena na karata nyingine hii haina mashiko!
Kama kweli itakua vizur sana kwani tanganyika inai'gan'gania znz ya nini????kwani kama wazanzibar twataka utawala wa kiislam nyie chepi chawauma????wananchi wataka afya njema,elim bora,miundo mbinu imara na maisha bora kwa ujumla wake sasa kama Muungano hauna faida wala manufaa yo moja kwa moja kwa wananchi wanini sie???????