Kumbe Nape ni mstaarabu

Kumbe Nape ni mstaarabu

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
687
Nimemfurahia sana jana aliposema kuwa watumishi wa umma lazima tuwawezeshe ndo tuwadai utendaji kazi sahihi. Utakuta watumishi wengi hawana vitendea kazi lakini tinasema hapa ni kazi tu haiwezekani.

Big up Nape, N.
 
Nape hubadilika kulingana NA mazingira, hali NA upepo uliopo huongea uharo panapo bidi, huongea point kama akiona inafaa. Pia aina ya wadhifa alio nao kwenye chama ndio shida. Ni kama Mc WA sherehe ambae pia huitwa msema chochote. Hujiondoa ufahamu inapobidi NA kujitwika uelewa inapo lazimu

KWA ujumla anajua kuchanga karata vizuri ndio maana anasonga mbele.
 
Hapendi mafisaaaadi! Halafu anamsimamo thabiti hayumbishwi kabisa .Atawanyoosha TFF,BMT,RT,KOSOTA,DOREFA,etc
 
Nape hubadilika kulingana NA mazingira, hali NA upepo uliopo huongea uharo panapo bidi, huongea point kama akiona inafaa. Pia aina ya wadhifa alio nao kwenye chama ndio shida. Ni kama Mc WA sherehe ambae pia huitwa msema chochote. Hujiondoa ufahamu inapobidi NA kujitwika uelewa inapo lazimu

KWA ujumla anajua kuchanga karata vizuri ndio maana anasonga mbele.

Umeongea point kubwa mno...... Kula like kwanza:
 
Anajua kuishi kufuatana na mazingira husika
 
nilianza kumfahamu mara baada ya kuwa mwenezi wa chama chake, huenda kweli cheo ndo kilimfanya awe vuvuzela kwani hata juzi wakati anaongea na wana UDSM waliotaka kuvurugu mjadala kama vile nilimuona anabusara kwa mbalii...huenda sasa zinaanza kuja busara zake
 
Huyu jamaa Ni philosopher anaenda na upepo I like this man
 
Kiboko ya Mamvi, kazi yake kwenye chama imeisha sasa anaingia serikalini kupiga kazi - SASA KAZI TU
 
Kwa kufuata utaratibu wa kazi hayo maneno alitakiwa kujadiliana na mabosi wake ofisini na SI vinginevyo kwani muda WA kampeni umeisha na sasa Ni utendaji Tu asitafute umaarufu
 
Nape is a real politician. Kama huelewi politics huwez kumuelewa Nape.
 
Wawezeshwe na nini? Mashangingi? inamaana anampinga Tingatinga? maana hakuna wanachokosa wafanyakazi wa Serikali... labda anawatetea kuhusu Posho...
 
Wawezeshwe na nini? Mashangingi? inamaana anampinga Tingatinga? maana hakuna wanachokosa wafanyakazi wa Serikali... labda anawatetea kuhusu Posho...

Umewah kufanya kaz serkarin
 
Back
Top Bottom