Nimefurahi sana kusikia kwamba ulicheka sana. Umeonyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Hutaumwa presha wala kisukari. Tell her kwamba unampenda bado. Atakwambia mengi
Wanawake wa siku hizi wamerithi tabia za baba kabisa yaani michepuko kwa kwenda mbele yaani kila mahali ni vilio looh! Juzi niliwasikia hapa ofisini wakidanganyana mmeo akichepuka wewe unasubiri nini na bado mrembo vaa vizuri tunza umbo lako tafuta mwanaume kama ukimwi mtafute wote. Hii dunia imekosa mwelekeo kabisa.
Hahahhahahaha....sasa mkuu na ww unasubir nini kutafuta mnyonge ummege kisha umtumie txt kama hiyo kuwa na ww ulikosea ulitaka kumtumia mshkaji wako uone atavyolia nakulalamika had dunia nzima ijue kuwa umemuonea...
Pole man wangu soma hapo juu nAPASUKA JAMANI.Nimeumizwa namimi leo na niko hapa na demu anadai ana mshikaji wake na niko nae gest na simfungulii mpaka ningate
Duuh poleeh. Though huwezi kujua labda kweli ilikua ya shosti, usikimbilie kuhukumu.
Ila still Mimi bado I believe katika mapenzi...wapo watu ( wanawake) wachache ambao ni waaminifu kabisaaa..wala siwezi kua na mtazamo hasi juu ya hili. Take it or leave it...love will always conquer,no matter what!
Tulizana kama nyuki Wa mashineni na usitie shaka ukatawaliwa na mashaka kumbuka njia kuu yako broo ni mchepuko Wa mwenzako.!!! tafiti ujuwe kama huna future NAE vema ukatemana NAE kuepuka maradhi...