The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,295
- 49,347
Nashukuru mkuu, kwa bahati mbaya sina uwezo wa kuangalia kila habari inayotokea duniani kwa wakati mmoja. Na haimaanishi kila nnachokifahamu au kukijua mimi na wewe lazima ukijue kwa wakati huohuo.Inaonekana hata taarifa za habari huangalii