Kumbe na wewe huliwa?

Kumbe na wewe huliwa?

Jamani mbona ninyi wote ni watu wazima? Hamuoni hicho ni kitoto cha mamba. Acha limamba sasa, kenge mukubwa chatu anatoka nduki. Acha kuchezea jimamba wewe
 
Mbona watu hatuelewi,mtanange huo ulianzia kwenye maji na toka walipoanza kupigana hadi mamba kusalimu amri ndio ilichukua masaa kati ya manne hadi matano.Baadae nyoka ndio akamvuta huyo mamba hadi hapo pembeni ya maji na kuanza kummeza. Zoezi la kummeza ndilo lolichukua dakika kumi na tano.

Afadhali umenisaidia kuelewesha
 
hata mimi niliona bbc walisema ni dk15 tu mamba chali tena walisema ni kwa mujibu wa mpiga picha

dk 15 kummeza sio mchezo duu hapo mwezi mzima sidhani kama atakula kitu
 
Back
Top Bottom