Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Asa huo mtanange ukujute binadamu mbona itakua kesi,hatari sana
Kuna kipindi nilikuwa natoka mbeya kwenda dar, kufika maeneo ya iyovi tukakuta wenye malori(wazambia) wamepaki magari yao kuziba bara bara. Tuliposhuka tukaona jamaa wanahangaika namna ya kumuua chatu aliyemmeza mwenzao imebaki miguu. Walimchinja yule chatu na kutoa mwili wa mwenzao name kwenda nao. ilisemekana Jamaa alibanwa na tumbo la kuhara ndipo akapaki gari na kuchepuka kwenda kujisaidi, huko akabambwa na chatu. Waliogundua ni wenzake alowaacha dar kama masaa 12 mbele lakini wakalikuta gari hapo.

