englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Na mimi nilikua nageuza screen ya laptop nione kama nnachokiona ni kweli Mamba?mamba....?
Hili tukio unaambiwa lilichukua masaa matano mpaka mmoja wapo alipokubali kushindwa.
Hako katakuwa katoto cha mamba. Jimamba kabisaa limezwe? labda hiyo elementary canal ya huyo chatu iwe ya chuma
Kama huo mtanange ulichukua masaa matano na bado nyoka akawa na ubavu wa kummeza mamba, huyo atakua sio nyoka wa kawaida.
Hako katakuwa katoto cha mamba. Jimamba kabisaa limezwe? labda hiyo elementary canal ya huyo chatu iwe ya chuma
Nimejifariji kwa kusema huenda mamba nchi kavu hana makeke sana kama alivyo kwenye maji.
Hili tukio unaambiwa lilichukua masaa matano mpaka mmoja wapo alipokubali kushindwa.
mbona kwenye bbc swahili news walisema ilichukua fifteen mnts?