shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,509
- 2,984
habari wadau. Poleni na majukumu ya kilasiku.
Stori ipo hivi kuna dada fulani alijilengesha nikaomba mzigo akanikubalia tukaenda kupima tukakuta tupo fresh tukaanza kukutanisha vikojoleo.
Kumbe ni mke wa mtu mimi nilikuwa sijui.nilikuja kujua baadae .nikamuuliza kama kweli nimke wa mtu nikataka kutafuta njia ya kumpiga chini.
Sasa kabla sijampiga chini jana mida ya saa kumi na moja nipo uwanjani nacheki kamechi fulani .Akapita dada flani nikamsimamisha iliniombe namba muda namtajia akatokea yule mama mchepuko yule binti akasepa .bwana yule mama alinisalimia vizuri tu kumbe kachukia sana .
Akananza kushusha meseji balaa.
Kumbe na wake za watu wanawivu kwa michepuko yao.
Nashindwa kupandisha hizo meseji.ila nimempanga akaelewa na leo naichapa