Najua hilo ila pia nionavyo wamesoma mazingira kuwa Dk. Mwigulu bado ana nguvu sana kiasi kwamba wakimbadili inaweza ikasababisha matokeao kinyume na CCM. Ni bora kuendelea kumpa Dk.Aliyemteua Prof Kitila ndiye aliyemtumbua Dr Mwigulu na ndiye mwenyekiti wa kamati kuu ya CCM, usisahau hilo bwashee wenzio watakucheka!
Upinzani wa maboksi!".... JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo ....."
Nani kakimbilia upinzani? Si bora ujikalie tu kuliko kwenda upinzani! By the way upinzani kwa nani? Mbowe? Zitto? Lipumba?
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano. JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.
Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof. Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Soma vizuri ameongelea "dalili za kukimbilia upinzani". Hili CCM wakicheza fyongo ni lazima litatokea - yangu macho.".... JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo ....."
Nani kakimbilia upinzani? Si bora ujikalie tu kuliko kwenda upinzani! By the way upinzani kwa nani? Mbowe? Zitto? Lipumba?
Hujaeleweka M-BatizajiUpinzani wa maboksi!
Mwigulu Nchemba ukurasa wake umekwisha fungwa. Amewahi ni historia tu, kama yeye ni mchumi wa PhD basi huu ni wakati wa kuitumia na siyo kujikomba komba kwa Jiwe kama kina Bashite wasio na kisomo.Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano. JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.
Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof. Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Ushauri mzuri. Nilishawahi kumshauri akagomaMwigulu Nchemba ukurasa wake umekwisha fungwa. Amewahi ni historia tu, kama yeye ni mchumi wa PhD basi huu ni wakati wa kuitumia na siyo kujikomba komba kwa Jiwe kama kina Bashite wasio na kisomo.
Yaani kualika na Mwigulu kwenda kula wali bure tayari umeanza kumfanyia kampeni hapa? Umejuaje Mzee Mangula katumwa na jiwe?Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano.
JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.
Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof.
Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.