Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

Mnambua

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
246
233
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.

Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano.

JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.

Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof.

Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
 
Aliyemteua Prof Kitila ndiye aliyemtumbua Dr Mwigulu na ndiye mwenyekiti wa kamati kuu ya CCM, usisahau hilo bwashee wenzio watakucheka!
Najua hilo ila pia nionavyo wamesoma mazingira kuwa Dk. Mwigulu bado ana nguvu sana kiasi kwamba wakimbadili inaweza ikasababisha matokeao kinyume na CCM. Ni bora kuendelea kumpa Dk.

Mwigulu mwenye wafuasi wengi zaidi kuzidi Prof. Kitila ambaye ni kama amepigwa PIN - hawezi kufurukuta kwa kuwa tayari kishapata fadhila za Mkuu na kilichobaki kwake ni kuhakikishiwa nafasi yake. Dkt.

kwa Kampeni ambazo ameshazifanya Dkt. Mwigulu ni kubwa sana kuliko ilivyotarajiwa na hata inteligensia ya Chama imeshaliona hilo. Kinachoweza kufanyika labda ni Mtu mwingine ajitokeze ampiku Dkt. Mwigulu kwa hoja na aoneshe mapungufu yake kwa ushahidi, mfano kuanza kufanya Kampeni mapema, ili huyo mtu mwingine (Sio Prof. Kitila) aonekane amepita kwa nguvu yake na apate wafuasi wengi hapo Utimu Mwigulu na Kitila utakuwa umetokomea kifo cha kawaida.

Isipofanyika hivyo basi Jimbo hili Mwaka huu panachimbika nakuambia.
 
"JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo "

Nani kakimbilia upinzani? Si bora ujikalie tu kuliko kwenda upinzani! By the way upinzani kwa nani? Mbowe? Zitto? Lipumba?
 
".... JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo ....."

Upinzani wa maboksi!
 
Mkiwa bungeni mnajifanya MNA uchungu na nchi kweli kweli kumbe ni wasaka tonge wazuri tu
 
Linapokuja swala la maslahi ccm wote huungana, maana hukumbushana kuwa ukiharibu hiki chama umeharibu maisha ya wototo wako...

Wapinzani waache kushabikia siasa za CCM.!
 
Acha kumtisha kitila,yeye jimbo lake ni la TAL,hakuna mjadala
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.

Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano. JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.

Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof. Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
 
".... JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo ....."

Nani kakimbilia upinzani? Si bora ujikalie tu kuliko kwenda upinzani! By the way upinzani kwa nani? Mbowe? Zitto? Lipumba?
Soma vizuri ameongelea "dalili za kukimbilia upinzani". Hili CCM wakicheza fyongo ni lazima litatokea - yangu macho.
 
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.

Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano. JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.

Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof. Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Mwigulu Nchemba ukurasa wake umekwisha fungwa. Amewahi ni historia tu, kama yeye ni mchumi wa PhD basi huu ni wakati wa kuitumia na siyo kujikomba komba kwa Jiwe kama kina Bashite wasio na kisomo.
 
Sasa kuna maana gani kumtumbua mtu hadharani na kwenda kumuungamia mafichoni?
Ni aidha mtumbuaji anajisikia hatia kwa yasiyo haki dhidi ya watumbuliwa ama mtumbuaji ni mwoga kupindukia mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu Nchemba ukurasa wake umekwisha fungwa. Amewahi ni historia tu, kama yeye ni mchumi wa PhD basi huu ni wakati wa kuitumia na siyo kujikomba komba kwa Jiwe kama kina Bashite wasio na kisomo.
Ushauri mzuri. Nilishawahi kumshauri akagoma
 
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.

Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano.

JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.

Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof.

Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Yaani kualika na Mwigulu kwenda kula wali bure tayari umeanza kumfanyia kampeni hapa? Umejuaje Mzee Mangula katumwa na jiwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom