Kumbe Mwanza bado waipenda UKAWA

Kumbe Mwanza bado waipenda UKAWA

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake Alphonce Mawazo kwenda hospitali ya Bugando kwa ajili ya postmortum. Kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa UKAWA bado ina nguvu sana katika ukanda huo wa ziwa ila CCM wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa UKAWA imekufa.

Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba UKAWA ina nguvu kanda ya ziwa

Apumzike kwa amani mwendazake alphonce mawazo
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake alphonce mawazo kwenda hospitali ya bugando kwaajili ya postmortum .kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa ukawa bado inanguvu sana katika ukanda huo wa ziwa.ila ccm wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa ukawa imekufa

Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba ukawa ina nguvu kanda ya ziwa

Mtoa mada kama kiazi vile unajua unachoandika /ulichoandika kweli.
 
Aisee hii ishu ya mawazo imenivuruga sana moyo. Hata biblia imeweka wazi jicho kwa jicho
 
TATIZO sio ukawa ,kinachomatter hapa ni UTU uwe ukawa ama CCM
 
Inauma sana kwa kweli..Rip Mawazo.... in short bila kura za maruhani ccm wangekuwa wanalia kwa sasa....
 
Hii ni dhahiri kuwa UKAWA ilishinda Mwanza, Matokeo yakabatilishwa!

Ila nililia sana, baada ya kuona vijana wamebeba jeneza la KAMANDA MAWAZO.

How can it be?
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake alphonce mawazo kwenda hospitali ya bugando kwaajili ya postmortum .kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa ukawa bado inanguvu sana katika ukanda huo wa ziwa.ila ccm wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa ukawa imekufa

Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba ukawa ina nguvu kanda ya ziwa

Apumzike kwa amani mwendazake alphonce mawazo
yaaa ukawa inafurukuta bado sema bado ccm ni gari kubwa.
 
Baada ya kuona UKAWA wamekuwa kimya kwenye sakata la uchaguzi mkuu wametuona mafala wanaendelea na uharamia usio vumilika hakika mlio husika hatma yenu iko karibu.
 
Hii ni dhahiri kuwa UKAWA ilishinda Mwanza, Matokeo yakabatilishwa!

Ila nililia sana, baada ya kuona vijana wamebeba jeneza la KAMANDA MAWAZO.

How can it be?

Mkuu tatizo lilikuwa ni mgombea wa urais wa ukawa ndo alileta kizungumkuti kwa wanachi,angesimama mwingine yeyote na lowasa na mtaji wake,uchaguzi usingewekwa wazi vile,ingekuwa kama kenya kutangazwa na kuapisha ni 3 mins,rip kamanda mawazo
 
TATIZO sio ukawa ,kinachomatter hapa ni UTU uwe ukawa ama CCM

Na Huo Ndiyo Utamaduni Halisi Wa Wasukuma Kwenye Majanga.Mie Ni Chadema Damu Na Musukuma Pure,ila Nikerwa Na Kashifa Kwa Wasukuma Hasa Wa Mwanza Baada Ya Wenje Na Kiwia Kuanguka,ile Ilikuwa Game Na Kila Mmoja Alikuwa Na Mbinu Za Kushinda Ziwe Halali Au Haramu Na Siyo Kuwalazimisha Wasukuma Wote Wawe Ukawa Au Wote Ccm,wana Utashi Na Uhuru Wa Kuamua
 
Mkuu hapo umedanganya... we sio cdm...
 
Mkuu tatizo lilikuwa ni mgombea wa urais wa ukawa ndo alileta kizungumkuti kwa wanachi,angesimama mwingine yeyote na lowasa na mtaji wake,uchaguzi usingewekwa wazi vile,ingekuwa kama kenya kutangazwa na kuapisha ni 3 mins,rip kamanda mawazo

Pia Ccm Walicheza Na Saikolojia Wanakanda Ya Ziwa Kwa Propaganda Ya Kujinyea Na Afya Kwa Mgombea Wa Ukawa,hii Iliathiri Mno Hasa Vijijini Na Jpm Alipopiga Push Up Akamaliza Mchezo,tena Usukumani Ikawa Majanga Zaidi
 
Hivi kumbe walikuja mwanza kumpima kama kauawa na mapanga au ilikua ni maralia?,

nachukia sana maiti kutumika kisiasa
 
Back
Top Bottom