Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,158
Wadau nimestushwa sana usiku huu kwa kugundua Maana JF mwenzetu [HASHTAG]#MwanaHaki[/HASHTAG] amefariki, nini kilimtokea? Je kulikuwepo na TANZIA yoyote.? Nimeweka Post yake ya mwisho hapa.
IMG_20180419_032419.png
 
Kiukweli nikiona Id imeandikwa RIP huwa machozi yananitoka na kufikiria mbali sana.

Roho fulani hivi huwa inanijia.

Mungu uwape raha ya milele member wote waliofariki lakini hatukupata taarifa.
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Mohammed Mtoi

Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
 
Back
Top Bottom