Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Geust ndio Nini !?

Wewe kama kuandika neno guest tu haujui Huyo mpenzi utamtoa wapi !?
 
Sasa wewe mwenyewe mnunuaji wa wanawake huyo ndio anaye kufaa maana wote mnapenda zinaa
 
Hakuna mwanamke asiyejiuza, n mbinu za kujiuza ndo zinatofautiana.
 
Kula kama mgeni uliyetafutiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ