Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Mbona hili linafahamika sana mkuu!Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!
"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo.
My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
Eti mpaka Zitto anaomba wabunge wa ccm wapewe uhuru wa kuzungumza!!!!!!!Naye kinana anakubali na kumhakikishia hilo!Hapa ndio tunapoona wabunge wa CCM hawana msaada kwa jamii ya Tanzania.
Siyo hayo tu bali hata huwa wanapangiwa nini wachangie bungeniNamnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!
"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo.
My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
Wabunge(baadhi) hawana Uhuru wa mawazo kabisa
Wanakua vipaza sauti vya viongozi wakuu wa vyama na wengine wanakua kaziyao kukejeli na wengine kutusi wengine na wapo wanajulikana
na chadema je? hivi kugoma huwa hawaambiwi?Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!
"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo.
My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
Naona umekiri tayari kuwa wabunge wa ccm huwa wanaambiwa semeni ndiyo au hapana!Hilo la CDM kafungue uzi tutakuja kujadili!na chadema je? hivi kugoma huwa hawaambiwi?
Sawa,lakini hayo mengine ya futari na nini hayana impact!Lakini vipi kwenye masuala mazito kama mikataba?Misimamo yote ya wabunge huwa husimamiwa na vyama vyao mkiambie nje lazima mtoke wakiambiwa ndiyooo lazima waitiekie ndiyooo wakiambia hakuna kufutururishwa hakuna kweli wakiambiwa njooni futari wanafuata
Kwanza nikukosoe,suala la kutoka nje huwa linatokea ndani ya bunge,sio suala ambalo huwa linapangwa kabla!Namaanisha mfano sakata la Mnyika,hakuna mtu aliyejua kuwa mnyika ataitwa mwizi na hivyo kupanic na kusababisha hali ya utulivu kupotea na kupelekea kutolewa nje!So its impossible kupanga!Ukiona wametoka basi ni kwa judgement ya mtu husika kuwa hakubaliani na kilichotokea na kuna wengine huwa wanabaki kwa matakwa yao!na wachadema nao mbona tunawaona wanafuata mkumbo kwenye kutoka nje wote wanasimamia chama
Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!
"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo.
My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
Mambo yote ni chama ndo hutoa maagizo hata mikataba kama pande 1 haina maslahi lazima kukwamisha ukitaka kuamini katika upigaji kura atokee tofauti na msimamo wa chama ujue anavuliwa ubunge wake kwa kuvuliwa uanachama wake. Hilo ndo lilivyoSawa,lakini hayo mengine ya futari na nini hayana impact!Lakini vipi kwenye masuala mazito kama mikataba?