Kumbe misimamo ya wabunge wa CCM huwa inatolewa na chama

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!

"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo
.

My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
 
Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
980
250

Mbona hili linafahamika sana mkuu!
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,465
2,000
Wabunge(baadhi) hawana Uhuru wa mawazo kabisa
Wanakua vipaza sauti vya viongozi wakuu wa vyama na wengine wanakua kaziyao kukejeli na wengine kutusi wengine na wapo wanajulikana
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
104,015
2,000
Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!

"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo
.

My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
Siyo hayo tu bali hata huwa wanapangiwa nini wachangie bungeni
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,257
2,000
Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!

"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo
.

My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?
na chadema je? hivi kugoma huwa hawaambiwi?
 
Jun 8, 2017
47
95
Hilo ndio liponyuma ya vyama vyote vya siasa hakua uhuru wa fikra wa wabunge bungeni wengi wao huingia bungeni wakiwa na misimamo ya kichama ambayo inafunga uwezo wao wakufikiri na matokeo yake ni hii mikataba mibovu hapa tufanye mabadiliko ya katiba kuwe na wa gombea binafi ili kukomesha hii Tabia
 
Bazilio

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
630
500
Misimamo yote ya wabunge huwa husimamiwa na vyama vyao mkiambie nje lazima mtoke wakiambiwa ndiyooo lazima waitiekie ndiyooo wakiambia hakuna kufutururishwa hakuna kweli wakiambiwa njooni futari wanafuata
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Misimamo yote ya wabunge huwa husimamiwa na vyama vyao mkiambie nje lazima mtoke wakiambiwa ndiyooo lazima waitiekie ndiyooo wakiambia hakuna kufutururishwa hakuna kweli wakiambiwa njooni futari wanafuata
Sawa,lakini hayo mengine ya futari na nini hayana impact!Lakini vipi kwenye masuala mazito kama mikataba?
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
na wachadema nao mbona tunawaona wanafuata mkumbo kwenye kutoka nje wote wanasimamia chama
Kwanza nikukosoe,suala la kutoka nje huwa linatokea ndani ya bunge,sio suala ambalo huwa linapangwa kabla!Namaanisha mfano sakata la Mnyika,hakuna mtu aliyejua kuwa mnyika ataitwa mwizi na hivyo kupanic na kusababisha hali ya utulivu kupotea na kupelekea kutolewa nje!So its impossible kupanga!Ukiona wametoka basi ni kwa judgement ya mtu husika kuwa hakubaliani na kilichotokea na kuna wengine huwa wanabaki kwa matakwa yao!
Tofauti na ccm ambayo inakuwa inajua kuwa kesh kuna suala la Escrow au mkataba wa hati ya dharura,mnachotakiwa kufanya ni kusema ndiyooooo!
 
Targaryen

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
663
1,000
Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!

"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo
.

My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?

we ndio unajua leo hilo au Bongo mgeni
 
Bazilio

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
630
500
Sawa,lakini hayo mengine ya futari na nini hayana impact!Lakini vipi kwenye masuala mazito kama mikataba?
Mambo yote ni chama ndo hutoa maagizo hata mikataba kama pande 1 haina maslahi lazima kukwamisha ukitaka kuamini katika upigaji kura atokee tofauti na msimamo wa chama ujue anavuliwa ubunge wake kwa kuvuliwa uanachama wake. Hilo ndo lilivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom