Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Namnukuu Zitto Zuberi Kabwe sakata la Escrow!
"Pia tulijua kuwa wabunge wa CCM wakiweka msimamo wa kupinga, taarifa yetu itakwama. Siasa za kibunge uamuliwe kwa msingi wa Demokrasia wa "wengi wape". Wabunge wa CCM ndio wengi bungeni, ukitaka jambo lako ni lazima ujenge ushawishi kwao. Ilibidi niongee na aliyekuwa Katibu Mwenezi, ndugu Nape Nnauye akiwa kwenye ziara mikoa ya Kusini na kumwambia amwombe Katibu Mkuu wao, ndugu Abdulrahman Kinana kuwa pasiwe na msimamo wa Chama chao kwenye jambo hili. Kuwe na Uhuru wa Wabunge wa CCM kuzungumza.
Ndugu Kinana akatuhakikishia hilo.
My Take;
CCM inakwepaje lawama kwenye masula yote mabovu yaliyowahi kupita bungeni?Kumbe huwa wanapewa maelekezo semeni ndio au hapana!!!!Its a shame,mko pale kwa maslahi ya wananchi au ya chama?