Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Hahahahahaaa, JIHOGO LA JANG'OMBE la Saleh kidogo limtoe roho mama chibu.
Mama kaugua kapelekwa hadi India ugonjwa hauonekani kumbe mama ana pressure ya kulikosa JIHOGO!...Lol

Hahaaaaa huyu anko Salehe kiboko aisee hana huruma kabisa kamlambisha ndimu mama wa watu Mpaka kachoka ndimu zikamshinda na maumivu yalivozidi wakampeleka India kumwona Daktari loh! Hatari sana.
 
Na hizo kiki za kulambisha watu ndimu zimemtokea puani. Aumie tu kwa kweli kila shauzi lina positive and negative impacts.

Na watuache bwana, sasa hivi habari ya mujini ni mama chibu na serengeti wake sio mtoto na jimama lake.
Hatariiii hiyo, mama na mtoto wanapishana kwa kick mjini hapa.
 
Subiri nimesema hadi nichafukwe.Halafu sasa hivi naelekea mwezi wa toba sitaki kuchuma madhambi mengine, nikirudi nitaweka nikiamua.

Sio lazima uweke wewe bwana.
Wengine sie wabudha hatuna mwezi mtukufu, yote mitukufu naomba mie basiii
 
Eti watumiaji wa mitandao haya waliwasaidia siku wanavuana nguo kwa mara ya kwanza atiiiii?

Mkuu...kuna binadamu wanashangaza sana...

Acheni kijana ale mtoto mtamu wa kiganda

Mtoto Mashaaalah

Walah zari kiwango aseeeeee....nikimwona tu lazima nishtuke

Sasa wale wengine sasa

walah nikipewa demu kama huyu sipigi hata iweje

 
 
Kuna siku walienda zanzibar, wakapanda boti, akamwambia 'Nassib funua iyo vesti', akavuta penso ya Nassib kama anachungulia kidole mle ndani afu akasema , 'Kifesi please take a photo!'.

Ptuuu! Mwanamke kakosa haya yule jamani?Umenikumbusha ile picha!
 
Huyu wema ni pros...hebu angalia mzigo huo wa kichina uliobebwa na miwa

 

Etiii...alimtoa Wema mimba saba.
WEMA NAYE MTU.
Na hata kama alimtoa si ni privacy au sisi inatuhusu nini.
Zarina kujichua kwa Dildo ndio privacy?
Zarina kumcheat Katunzi ndio private?
Ila tumbo lake ambalo huwa analianika hadharani sio privatebila mimba ilivoingia ndio ptivate?
Ambavo huwa wanarusha mipicha yankunyegeshana sio private?
MAKUBWAAA.
DOUBLE STANDARDS.
Ali Kiba na nyumba ya kupanga sio private?
Watoto wa Ali sio private?
Ali kiba naye mzazi ujueee
 
 

Hapo sasa, huyo wema hamtoki akilini sijui alimnyima nini.
Thread haimhusu lakini kakazana na wema, wema.
Halafu huyu mgeni sijui? Tokea lini sisi tukawa mashabiki wa wema?
Umbea una wenyewe bwana, kudandia gari kwa mbele tu.
 
Na watuache bwana, sasa hivi habari ya mujini ni mama chibu na serengeti wake sio mtoto na jimama lake.
Hatariiii hiyo, mama na mtoto wanapishana kwa kick mjini hapa.

Hyo ndo habari ya mjini ya mama na Serengeti boy ake ama kweli wonders shall never end indeed. Huyu jimama hana issue atafta kiki nyingine ile ilikua ya white party.
Sasa naona na mama MTU wanapishana na mwanae kwenye Ku make headlines.
 


Mkuu Tatizo lao hawataki kukubali kuwa Zari ni Mwanamke mwenye akili........

Wao wanamshabikia Pros maarufu wa Afrika mashariki na kati

Wakati zari ni mjasiriamali mwenye akili...amewaonesha kwenye white party
 
Mkuu Kimbley kuna chokoraa huyu hapa.
Wema hatumtukani ndiyo sifa yake kuu
Hivi wewe hata huoni haya ....kumsuport mburula kama wema?
Mi ningekuwa na dada kama wema ningemtoa msaada tu akatumike kwa watoto yatima kwa kumchezea

So Wema is less of a person?
Ila Wewe una utani na viumbe wa maulana.
Cc: Mrembo by Nature, Avemaria.
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima uweke wewe bwana.
Wengine sie wabudha hatuna mwezi mtukufu, yote mitukufu naomba mie basiii

Lakini bado chanzo kitakua mimi tu dear, pls nikirudi nitakurushia tu usijali.Tuombe uzima tu.
 


Hhaahhahahahaha...my Godness....Wema ndiye boss wenu...who doesnt know....

Mtu anaenda kuuza anakuja kuwalipa nyie
 

pale mbona iyobo kaingia chaka bovuuuu
hilo liko waziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…