Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Wakaanza project ambayo bado inaendelea na wasiopenda bado wameshindwa kuwafanya waachane...

 
#tbt

Yule akaanza wivu na wafuasi walitumwa na yeye kujaribu kila mbinu waachane ila hii kali duh mshamgao mie



Na kujisahau kuwa hayumo kwenye account feki ya instagram kabla hajagundua kumbe wambea wameshadaka ktk sekunde 1

Hii lazima hakuamini imeshadakwa alipojigundua na kuifuta haraka, watu wengine. Nilimuonea huruma kwa kweli, mapenzi hatari kuumia roho ugangwe wote huisha wa sikutaki sikupendi nakupa likizo

View attachment 259340
 
Project inaendelea, Mungu awe nao.



Na Jana SA

View attachment 259347

Msisahau mimba uanza kuhesabiwa tangu siku ya kwanza ulipoanza he.dhi yako ya mwisho. (Kwa wachache uwatokeaga wanaweza pata he.dhi mimba ikishatinga ikitokea unaendelea kupata basi watapima saizi ya kiumbe nazani na homoni sikumbuki vizuri)
 

Hiyo ni kumaanisha wanatukubali na wanapenda kutusoma...lol

Poa

#BringBackOurBOi
 
Last edited by a moderator:
Picha za Michuzi

Naelea y anajibadilishaga
 

Attachments

  • 1434088921279.jpg
    24.9 KB · Views: 436
  • 1434088942705.jpg
    73.3 KB · Views: 414
Ukweli nao tuuseme wa miss 06, uzuri wake sio wa kutoa ... pangoni au wow unaoshtusha
😉

Huu uzi unahusu mimba ya zari sio ya domo.. kwani huwezi kupambana na hoja mpaka umshirikishe wema? Au wema ndo ukwaju? Nimeona na mwingine kasbindwa kwenda na mada kamwingiza adi kiba.
 
Nyie mnadhani hata kama hiyo mimba sio yake atasema? Hiyo inaitwa KUFA KIUME!
Kwahiyo wambea tutasubiri sana...

mbona mwenzie Bobi Wine (uganda) alitangaza kwamba kampima mtoto wake DNA ikagundulika sio baba halisi...aseme tu ni mambo ya kawaida siku hizi...ni sawa na mashoga wanavyojitangaza hadharani wakati zamani ilikuwa sio rahisi
 
Huu uzi unahusu mimba ya zari sio ya domo.. kwani huwezi kupambana na hoja mpaka umshirikishe wema? Au wema ndo ukwaju? Nimeona na mwingine kasbindwa kwenda na mada kamwingiza adi kiba.

Mapenzi ya Zari na Diamond na mimba yao. Eti haimuhusu Diamond kaeni mkao ibgekuwavya mnaosingizia basi ingekuwa ina wiki mia mbili mimba hiyo. Angalia walikutana lini insta itakupa mawiki, ukimaliza ongeza zile za tangu siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho, halafu kaa mkao wa kusubiri usisahau plus na minus 2.

Ikabidi nirushe tbt ya ex wake maan inahusu mengi mnayoshadadia humu.

Wala usitupangie cha kusema

Kama hautaki kuwa mimba ya Diamond, basi subiri kesho tupike na shingogo juu ya watoto wa wasanii ambao hawajaoa kuwa wanasakiziwa na wanalea yaani wanekua mamburulaz maili mia nane bila kujijua

Maan tumechoka kusikia ya Diamond magazetini atiiiiii
 

Mama utafurahi na shoo mwaka huu.
Zari anamshika domo pembe wengine washakamua kitambo.... chezea mutoto ya mujini wew chaliiiii
 
warumi nenda Insta ukatuletee habari Ray C analia kanyimwa dawa...sijui wamemfanyaje pliiiz [MENTION=34791]warumi
 
Last edited by a moderator:
Huyu SI aje akuchambie Tu huku jf au anakuogopaaaa eti nifah
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu hajielewi angekuwa anajielewa asinge chamba fake id.
Nimemdharau kwa kweli.


halaf anasema yupo humu naona yupo kwa I'd mpya SI unakumbuka ishu ya group nayo kaiongelea kua amemuadd group wakat walisema ukiwa na I'd mpya hakuona kujiunga group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…