Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Mange angekua ni mtu wa maana ningezikubali nukuu zake kama za maan.Toka alipolalwa na Kim tapeli, yeye mama Mwele na dada yake hafai kuwa mfano wa kuigwa..
Nukuu zake hazina mashiko.
Sasa hiyo ni personal conflict....sio kua namkubali mange ila neno tu neno bibie we mengine ya mange yaache chek quote over hebu tuchek story zingine bana wakati tunamngoja East African royal princess au sio? Lol
 
Best domo anapambana bila hata hizo kiki mungu akipanga riziki zinakuja tu.....ukweli domo mungu kambariki na nyota ndio imewaka asijisahau 2 awekeze mana familia yote inamtegemea yeye

Awewezeshe kiuchumi wajitegemee ka huyo Esma ana followers wengi tu wa kutosha. Akianzisha hata biashara atapata wateja kuliko kumtegemea mtu mmoja.
 
Awewezeshe kiuchumi wajitegemee ka huyo Esma ana followers wengi tu wa kutosha. Akianzisha hata biashara atapata wateja kuliko kumtegemea mtu mmoja.

Huyo Esma si ana duka la nguo?
 
wadaku wanamambo,kuna kipindi mlikua mnasema hana mimba,Leo mnasema mimba si ya diamond,itakuaje ya diamond,wakati imebebwa zari
 
Wewe ni sheeedaaaa hahahaaaaaaaaa
 
Uwiiii macho yangu yanapofukaaaaaaaa
 
Kuna umalaya certificate na umalaya PHD ha ha ha

Haya haya haya!!tayari kimenuka huko!!Baba kijacho/Icon ya mziki tz/WCB Presdent/Nana hitmaker/na mengine meengiiii!

Habari njema kwa huyu PLATNUM ni kwamba amechaguliwa kugombea kipengele cha BEST AFRICAN ARTIST huko nchini Naijeria katika tuzo za NIGERIAN ENTERTAINMENT AWARDS(NEA).

Wakati huohuo anafanya yake sasa hivi Huko Africa kusini
 
kila la heri alete tuzo...
 
Wewe ni singiiiiidaaa nimecheka leo duuu unachamba adi kachubuka mnduku looohhh.
Hatarudia tena kunya hadharani

mpuuzi yule na feki id zao mi bwana nyeupe,nyeupe..bluu,bluu...!!
 
yaambie yasubiri kuona mtoto wa taifa.. wa malaya la kigandaaaa

mpuuzi yule na feki id zao mi bwana nyeupe,nyeupe..bluu,bluu...!!

Ila kweli zari kazingua daah kwani yy ni mama huruma adi amzalie domo? Looooh na watoto wake wakubwa tuu na wanatosha si angetulia tuu.
Eti mtoto wa taifa boooooongoo? Heheheeeeee hallow ya wifi wa taifa.
 
halow ya wifi wa taifa kuzaa mtoto wa taifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…