Kumbe mbeya hakuna kitu

Kumbe mbeya hakuna kitu

Nenda Kyela ukajionee watoto wenye chura heavy ila usitegemee kuona kisu coz wengi sura mbovu ila chura usipime.

nb. UKIMWI UNAUA
 
Kiujumla mkoa wa mbeya hauna wanawake wazuri kwa wenyeji,nimezunguka mikoa karibu yote.Mikoa yenye wanawake waliofanana na baba zao ni Mara,Mbeya,Dom exclude Kondoa,Katavi,Mtwara,Songea,Mwanza na Shinyanga japo kwa shepu wako vizur na Njombe
 
Ni kweli kuna uhaba wa makahaba wengi wameokoka.
 
Hao ni kwa ajili ya kutuzalia watoto tu mbaba.ukitaka wazuri shuka singida
 
Habari wakuu, nimekuja hapa Mbeya kwenye maonyesho ya OSHA toka juzi nimefanikiwa kuzunguka mitaa tofauti tofauti nilichogundua ni kwamba Mbeya kuna uhaba wa wanawake unazunguka zaidi ya saa nzima bila kuona binti mzuri
Ulikuwa unazunguka maeneo gani?

Uje Dar ukose wanawake wazuri kisa ulikuwa unazunguka Uwanja wa fisi au Buguruni kwa Mnyamani.
 
Tafuta wenyeji wakuoneshe jiji...

Ila nenda pole pole, utavamia walanguzi wa mapenzi, waikange roho yako inyauke kama mti...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom