Kumbe mbeya hakuna kitu

Kumbe mbeya hakuna kitu

Kule watu wa kazi sio bint sio wamama usidhani ni kama ulikotoka huko ni kazi kazi
Habari wa kuu nimekuja hapa mbeya kwenye maonyesho ya OSHA toka juzi nimefanikiwa kuzunguka mitaa tofauti tofauti nilichogundua ni Kwamba mbeya kuna uhaba wa wanawake unazunguka zaidi ya Saa nzima bila kuona binti mzuri
 
wenyeji wa mbeya mleta maada wote wanafana ya ni kama kambale.

note:ukiona kifaaa kizuri jua 99.99% si mwenyeji. kila la kheri katika mzunguko wako huko mbeya na pia usisahau wanashika nafasi ya 3 VVU
 
Back
Top Bottom