Kumbe mbeya hakuna kitu

Kumbe mbeya hakuna kitu

wenyeji wa mbeya mleta maada wote wanafana ya ni kama kambale.

note:ukiona kifaaa kizuri jua 99.99% si mwenyeji. kila la kheri katika mzunguko wako huko mbeya na pia usisahau wanashika nafasi ya 3 VVU
Yaani ukimuona mzuri ukijaribu kumchukua maelezo Anakwambia Mimi nimetoka mkoa mwingine sio mwenyeji huku nimekuja kikazi
 
Kila baada ya saa anaona demu mzuri sasa akizunguka kwa masaa 20 si atakuwa ameona kama mademu 15 wazuri!!!
Kwa maelezo yake hapo juu ni wazi warembo wapo ni vile tu ana makengeza
Mkuu rudi usome vzr nimesema unatembea zaidi ya Saa nzima huoni kisura wala chura wako vibaya idara zote kwenye chura na Reseptio
Mbona Rwanda na karagwe ni milima lakini miguu ni 'misupu'
Sijui tatizo Nini maana idara zote wako hivyo upande wa Reception hakuna kitu upande wa chura pia chenga
 
Kwahyo unamanisha ulikua unakutana na jinsia ya kiumetu au unamanisha nini labda.

Kwako mtoa mada:
 
Mkuu rudi usome vzr nimesema unatembea zaidi ya Saa nzima huoni kisura wala chura wako vibaya idara zote kwenye chura na Reseptio
Sijui tatizo Nini maana idara zote wako hivyo upande wa Reception hakuna kitu upande wa chura pia chenga
Kama ni zaidi ya saa ndipo unawaona bado wazuri wamo labda ungesema kwamba muda wote uliopo huko hujaona kabisa mrembo
 
Habari wa kuu nimekuja hapa mbeya kwenye maonyesho ya OSHA toka juzi nimefanikiwa kuzunguka mitaa tofauti tofauti nilichogundua ni Kwamba mbeya kuna uhaba wa wanawake unazunguka zaidi ya Saa nzima bila kuona binti mzuri
Duuuh wewe ndio ulikuwa umevaa suruali ya kubana mtaa wa uhindini
 
nimefanikiwa kuzunguka mitaa tofauti tofauti nilichogundua ni Kwamba mbeya kuna uhaba wa wanawake unazunguka zaidi ya Saa nzima bila kuona binti mzuri
Syo isi ghwisile kuno (ku-Mbejhe)....???
Kukanwa li...
Gwhe ikonyofu ughwe...😁😁😁
 
Ina maana hawa mabinti waliokuja kwa ajili ya semina ya OSHA hujawaona au unataka wa Mbeya?!
Wenzako tunavuta hawa hawa tuliotoka nao mjini…..
 
Habari wa kuu nimekuja hapa mbeya kwenye maonyesho ya OSHA toka juzi nimefanikiwa kuzunguka mitaa tofauti tofauti nilichogundua ni Kwamba mbeya kuna uhaba wa wanawake unazunguka zaidi ya Saa nzima bila kuona binti mzuri
Haupajui Mbeya.
 
Hahaha nenda mbeya Carnival, TIA au utumishi college kaopoe hapo Kuna vifaa hutojuta ila wazaliwa wa mbeya ni admimu mno kumkuta mrembo
hao wanafunzi waachwe wasome, besides wengi utakuta sio wenyeji wa mbeya wamefuata vyuo tu, kimtaanimtaani hamna warembo mbeya aisee
 
Back
Top Bottom