Kumbe mateja hugawana damu ya mwenzao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe mateja hugawana damu ya mwenzao?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mzalendo Mkuu, Mar 28, 2011.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Last week nilikuwa nasikiliza kipindi cha Radio One Doctor. Mada ilikuwa juu ya magonjwa ya akili. Mambo mengi yaliongelewa ila hili lilinishangaza sana

  Kwanza Mateja wakikosa dawa wanaenda kwa mwenzao mmoja ambaye amefanikiwa kupata dawa. Wanachukua bomba la sindano anawapa damu yake kupitia hilo bomba. Wale mateja wenye njaa wanajidunga hiyo sindano kugawana damu ya yule mwenzao angalau nao wapate hicho kilicho kwenye damu! Inatisha.
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  ni hatari kwa kweli mkuu maisha wanayoishi hawa watu ni hatari sana, kwa kifupi ni kwamba wanaishi dunia nyingine kabisa ya kufikilika huwezi amini. Nini cha kufanya? sijui, kwa sababu hao hao viongozi tunaowategemea ndio wanaoingiza hayo madawa kwa wingi sana. hata kuanzisha vituo vya matibabu kwa waathilika hawataki. inauma sana jamani ndugu zetu hawa wanapotea huku tukiwaaangalia na kuwashangaaa. so sad.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Khaaa!
  Na maambukizi ya magonjwa je?
   
 4. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Jamani! Sikuyajua haya. Wonders shall never end!
   
Loading...