Kumbe Mama mkwe!!

Kama na wewe ulikuwa umewekewa mikono usoni na masikio yako yamezibwa, basi inawezekana!!


Babu DC!!
 
hii maneno imenishtua kweli, nyumbani kwangu kaja dada wa mke wangu kula x-max na wanafanana kwa umbo na sauti, juzi alivaa gauni la wife nikamkuta sebuleni, mie bila kujua nikasema, 'mambo honey' nikijua ni wife, yeye akajibu, yuko jikoni........... Duh nikabaki kujifaragua..................... Hivi ningekurupuka na kumkumbatia labda yangekuwa makubwa............................! Lol


una bahati kidogo
 
Mwenye kadhia hii jina kapuni......Anasema....Nakumbuka nilitembelewa na mama mkwe wangu,alikua anafanana sana na mwanae(mke wangu)siku ya fedhea hii nilichelewa kurudi kutoka kazini,nilipofika nyumbani niliend moja kwa moja jikoni,niliemkuta nikamziba macho halafu nikamwambia "guess" akajibu "son in low",nikajua ni mke wangu kwani huwa anapenda sana utani kwani hata nguo alikua amevaa za mke wangu,nilitoa mikono machoni na kuipeleka kwenye makalio na kuyapapasa na kuyaminya,kisha akaikamata mikono yangu akageuka halafu mke wangu akawa anaingia nilipogeuka nyuma na kumuona mke wangu nilimtazama niliekua nampapasa na kugundua ni mama mkwe!!Nilishindwa kusema samahani,niliondoka na kwenda chumbani halafu baada ya muda akaja mke wangu chumbani akinicheka kwa kutokua makini.Kesho yake nilisafiri na sikurudi mpaka mama mkwe alipoondoka!

Mtunzi mzuri wewe
 
Hii maneno imenishtua kweli, nyumbani kwangu kaja dada wa mke wangu kula X-Max na wanafanana kwa umbo na sauti, Juzi alivaa gauni la wife nikamkuta sebuleni, mie bila kujua nikasema, 'mambo honey' nikijua ni wife, yeye akajibu, yuko jikoni........... Duh nikabaki kujifaragua..................... Hivi ningekurupuka na kumkumbatia labda yangekuwa makubwa............................! LOL
Afadhali wewe mkuu
 
Sipati picha angegusa ikulu ya mama mkwe wake . Lol!!!. :photo:
 
so asingetokea mkeo ungefanya mengine zaidi ya hayo..................
 
Kuna mahali umejichanganya kujustify..........na nguo alikua amevaa za mke wangu.............."son in law" afu mama katoka Bwax?? hii inawezekana lakini mjomba ahsante nlikua sijacheka mie leo.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom