Kumbe makomandoo kuvunja matofali si Tanzania tu

Kumbe makomandoo kuvunja matofali si Tanzania tu

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,215
Reaction score
35,879
RDF COMMANDO (RWANDA)

files.php


TPDF COMMANDO (TANZANIA)





19.jpg
 
...teh teh wakachukue kitu ya concrete kama hatujawahisha muhimbili mtu, wanacheza na huo mchanga wa beach...!??
 
hahaha eti rwanda?!.nadhani wamefanya hivyo purposely kuwatisha JWTZ.si mnajua tena tupo ktk msimu wa Cold war with rwanda.tutegemee vituko zaidi.
 
kama siyo tofali una fikri ni nini? jamani siyo kila kitu lazima uninge kuwa ndio ukomavu wa kisiasa, hata kuku bali pia ni mojawapo ya ukomavu wa kisiasa
 
Back
Top Bottom