Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

mpaka nimeumia......naona kama ni mm vile yananitokea
 
huyo demu bikra?

Aaa wapi aitoe wapi?. Angalau hata angekuwa bikra Mara mia . Nina rafiki mwingine anafunga ndoa mwaka huu. Kaenda vijijini kaopoa standard seven kitu kibichi na kiko bado karatasini hakijaguswa kwa laki sita tu pungufu anaongea . Tunakalia na baadhi wa mjini wenye akili kama za huyu. Pyuuu!.
 
mapema hivi anapelekeshwa hvyo...je uko ndani si atakuwa bushoke....
 
Yaani Mkuu umeshindwa kulipa mahari mpaka unataka binti ajilipie mahari? Hii ni mpya, yaani binti ajichumbie mwenyewe? Kazi boot Mkuu uliyataka mwenyewe!
binti ndiyo analazimisha ndoa sasa kama jamaa hana uwezo na yeye analazimisha si ajilipie baadhi ya gharama ili aipate hiyo ndoa.......
 
Hakuna Mke Hapo, Huyo Demu Ni Kibaka Mkubwa, Mchizi Ampotezee tuu..
 
Mapema sana dalili zimeonekana nikijiweka mimi hapo hata sifikirii kusitisha hiyo ndoa.
 
Last edited by a moderator:
pole yake,hadi siku ya ndoa ifike atakuwa kauza hadi nguo zake atabaki kama alivyozaliwa,amwambie huyo dada kama hataki kufanya atakavyo yeye basi atahairisha ndoa,huyo dada ana tamaa ya kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao
 
Huyo mdada hana mapenzi ya kweli na huyo kaka na hata kama atamuoa atamsumbua sana kwenye maisha yao ya Ndoa,ushauri wangu kwa huyo kaka,ahairishe hilo tukio kwavile lipo nje ya uwezo wake na ajipange umpya,kuliko kuanza kuuza pikipiki ambayo labda ilikua inamuongezea kipato chake, ASIKURUPUKE.
 
mwmbie hivi kama kweli anapendwa na hyo bnt
1.ampunguzie mahari
2. asimpangie masharti ya pete
3.aende huko anakofanya kazi kwa kumshtukiz
akikata hayo mawili huyo bnt asiioe
 
Mimi pia naweza msaidia mtu katika Mambo mengine ata asiponivisha pete haina shida ilmrad tumependana...... ila kumsaidia eti kunitolea mahari uwiii siwezi ntakua najichumbia.... kijana kama Mambo hayajakaa sawa atulie kwanza atafute pesa.
 
maisha yamebadilika siku hizi... kusaidia kiasi cha mahari sio issue kabisa labda ka unaozwa kwa elfu tisini!!! jifunze kupenda, ka vitu vidogo ka hivi vitakushinda huko mbeleni itakua shida zaidi
 
Ntafanya na kumsaidia sana tu but si wakati wa kunichumbia better hata nkaongea na wazazi wampunguzie o atoe kwa awamu ila Mie kujitolea mahari never!!
 
Mimi pia naweza msaidia mtu katika Mambo mengine ata asiponivisha pete haina shida ilmrad tumependana...... ila kumsaidia eti kunitolea mahari uwiii siwezi ntakua najichumbia.... kijana kama Mambo hayajakaa sawa atulie kwanza atafute pesa.

hah hah hii imenigusa asee.. kuna mtu anadai tuchange nusunusu atoe mahari kwetu..hapa anatishia kuniacha kwa ishuz za mshahara.. hata pete sijavishwa, ndani sijawekwa ANAPIGIA MAHESABU MSHAHARA WANGU... ooh noo noo nooo.!!! no kubwa.
 
Hahaha pungufu mnaongea au sio.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…