NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,300
- 2,970
Unataka utuambie kuwa nyumba nzuri yenye milango ya chuma imejengwa kijiji kisicho na umeme?
Hizo taa ziko 21 kwahiyo hicho kijiji kina wananchi 21.
Au hao 21 ndio Luxury!
Unataka kuniambia inchi yenye magari mapya magari yanakuwa kwenye inchi isiokuwa na kiwanda Cha magari?
Post yako ni ya kijumla sana; taja WILAYA na MKOA uliko piga hiyo picha.View attachment 1382047
Sent using Jamii Forums mobile app[/UR
Taa hizi ni Mali ya wanakijiji waliokosa huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa licha ya Muheshimiwa raisi kutekeleza sehemu kubwa ya ahadi ya umeme vijijini
Taa hizi hukusanywa kwa pamoja nakuchajiwa,
Jioni mwenyekiti huita watu wote nakuanza kugawa taaa
Na endapo jua lisipowaka bhasi kijiji kizima huingia gizani,
Tunamuomba muheshimiwa raisi na wizara ya nishati na madini kumulika zaidi vijijini hali ni mbaya ,
Vitu viwili tofauti.Unataka kuniambia inchi yenye magari mapya magari yanakuwa kwenye inchi isiokuwa na kiwanda Cha magari?
Chattle au wapi?View attachment 1382047
Sent using Jamii Forums mobile app[/UR
Taa hizi ni Mali ya wanakijiji waliokosa huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa licha ya Muheshimiwa raisi kutekeleza sehemu kubwa ya ahadi ya umeme vijijini
Taa hizi hukusanywa kwa pamoja nakuchajiwa,
Jioni mwenyekiti huita watu wote nakuanza kugawa taaa
Na endapo jua lisipowaka bhasi kijiji kizima huingia gizani,
Tunamuomba muheshimiwa raisi na wizara ya nishati na madini kumulika zaidi vijijini hali ni mbaya ,
Unataka utuambie kuwa nyumba nzuri yenye milango ya chuma imejengwa kijiji kisicho na umeme?
Post yako ni ya kijumla sana; taja WILAYA na MKOA uliko piga hiyo picha.
Kuna vijiji vingi tu, wana umeme kwa muda sasa hivyo post yako haiwahusu!
By the way, hizo taa sijui Ishirini hazitoshi kukusanya wanakijiji wote ili wagawane kila jioni