Kumbe maajabu bado yapo Tanzania

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
2,298
2,969
IMG_20200309_114355_9.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app[/UR

Taa hizi ni Mali ya wanakijiji waliokosa huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa licha ya Muheshimiwa raisi kutekeleza sehemu kubwa ya ahadi ya umeme vijijini
Taa hizi hukusanywa kwa pamoja nakuchajiwa,
Jioni mwenyekiti huita watu wote nakuanza kugawa taaa

Na endapo jua lisipowaka bhasi kijiji kizima huingia gizani,
Tunamuomba muheshimiwa raisi na wizara ya nishati na madini kumulika zaidi vijijini hali ni mbaya ,
 
Ningetembelea vituo vyote vya ukusanyaji taa sema kidogo nilikua na kiharaka ila taa hizi nizakijiji na wananchi waliochangia ununuzi wa taa hizi ndo hupata gawiwo la mwanga
Post yako ni ya kijumla sana; taja WILAYA na MKOA uliko piga hiyo picha.
Kuna vijiji vingi tu, wana umeme kwa muda sasa hivyo post yako haiwahusu!
By the way, hizo taa sijui Ishirini hazitoshi kukusanya wanakijiji wote ili wagawane kila jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom